Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Sasa mbona siioni
 
Fuatilia data za revenues Tanzania vs Kenya utuletee basi. Tunasubiri. Sio watu mnakuwa wabishi tu. Hapa ni kuelimishana. Ila ninavyojua Kenya always tourism revenue zinazidi Tanzania year after year.
Acha utani..ukanda huu tunakimbizwa na South Africa..

Kenya hawatuzidi mapato ya utalii.
 
Stealing? Mbona humtendei haki Mheshimiwa Rais wetu?

Amandla...
 
video nimeona aisee ni kal sana hii inazidi kutuweka katika lamani ya dunia na kuipaisha kiuchumi tanzania na pia itauhamisha ufarme wa utalii kutoka bahamas huko na copacabana kwa watalii kuja kumiminika tanzania.
 
hiz zote ni changamoto ambazo zinafanyiwa kaz na taasis husika.laoyal tour iitabak kuwa ya kimataifa
 
Waliopita wametuachia nchi nzuri. TUBARIKIWE MILELE na sisi tuwaachie watoto wetu nchi nzuri.
 
video nimeona aisee ni kal sana hii inazidi kutuweka katika lamani ya dunia na kuipaisha kiuchumi tanzania na pia itauhamisha ufarme wa utalii kutoka bahamas huko na copacabana kwa watalii kuja kumiminika tanzania.
Naungana nawewe 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…