Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Kazi na iendelee
 
Magnificent !
 
Kumbe lengo la ROYAL TOUR ilikuwa ni kuwatoa masai kuweka wazungu! daaah Mungu yupo lakini
 
watch
 
Katika mambo ya filamu lazma uchague jina zuri litakalovutia watu Ili watamani kutizama kilichomo kwenye filamu hiyo. Mzungu akiona Hilo neno atatamani kuitizama movie na akiingalia atatamani kuja. Lengo ioate viewers wengi na isambae Ili lengo la watalii wengi litimie
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Nzuri sana hii
 
Mambo ni mazuri Sana,
 
Filamu kali sana hii aise let's wait
 
Safi sana kwa Mama SS.. Tumpe Moyo aendelee kutangaza Tz yetu... Natamani hata Watz tuanze kujivunia vya kwetu
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
Daah..huu unafiki wa kiwango cha lami..cha ajabu hawa ndio waje kuletea hii nchi maendeleo..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…