GE2025 Tazama Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda akitoa watu mapepo

GE2025 Tazama Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda akitoa watu mapepo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maigizo tupu hapo. I was there.
 
Soon ataanza tena na kuwatoa roho.
Mje mseme pia anaitenda kazi ya Mungu.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Au Tanzania ni chaneli ya Vichekesho mbinguni?
Kwani Makonda anashindana na nani huko Arusha anatumia nguvu nyingi sana kujipigia kampeni. Jamani nyumba za ibada ziache kutumia kufanyika kampeni kama Kenya wakivyozuia tu vitu vingine ni kumdhihaki Mungu.
==============================
​

​
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametokwa machozi wakati wa maombi katika Huduma ya Radio Safina lililopo Mbauda jijini Arusha Makonda alijikuta kwenye hali hiyo wakati alipopewa nafasi kusalimia kanisani hapo leo Jumamosi 20, 2025 akisema nia yake katika kuwania nafasi hiyo ni kuwatumikia wananchi wa Arusha.

Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametokwa ma.jpg

Amesema kufanya hivyo ni kutimiza kusudi la Mungu lililopo ndani yake huku akiwaomba waumini kumuombea ashinde awe mbunge katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Amesema Taifa linahitaji viongozi ambao watatimiza kusudi la Mungu hapa duniani, wenye maono na wasiotanguliza maslahi binafsi badala yake watekeleza matakwa ya waliowachagua kuwa kwenye mamlaka.
 
We need more Technocrats than Faith Healers..., ila ndio hivyo Siasa - Siasani, performing to the crowd i.e. giving the mass their Opium
 
Lazima uwe punguani hasa wa akili na roho, kuamini kuwa Makonda, mtumishi mwaminifu wa ibilisi shetani, anaweza kutoa mapepo kwa jina la Mungu wa kweli.

Kweli shetani hana aibu, mtu anawatengeneza na kuwaandaa watu ili kuwahadaa watu, na anategemea atawapata wasio na akili, watakaoamini.
Mkajipange upya, kwenye hili mmefeli kabisa. Hakuna wa kudanfanyika.

Makonda akiweza kumrudisha aliyemteka na kumwua, Ban Sanane, tutaamini shetani anayemtegemea ana nguvu, siyo haya maigizo ya kutoa pepo.

Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
 
Kitu msicbokifahamu ni kwamba both Makonda na Mwamposa walienda Nigeria kuchukua uchawi ambao Mwamposa anatumia kanisani kwake kuwatupia watu mapepo na kuyatoa. Vivyo hivyo Makonda anao huo uchawi wa kuwatupia watu amapepp na kuyatoa
 
Dini ni kama ugonjwa wa akili
 
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”

Hii nchi inaongozwa na Matapeli.
 
Back
Top Bottom