🤣🤣🤣🤣🤣Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
Dini ni kama ugonjwa wa akiliKitu msicbokifahamu ni kwamba both Makonda na Mwamposa walienda Nigeria kuchukua uchawi ambao Mwamposa anatumia kanisani kwake kuwatupia watu mapepo na kuyatoa. Vivyo hivyo Makonda anao huo uchawi wa kuwatupia watu amapepp na kuyatoa