Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .

Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.

View attachment 1986775
Watu wengi wanataka kujisajili tatizo ni muda. Kungekuwa na online link ambayo mtu akiingia tu anajisajili
 
Lumumba watasema photoshop
Nadhani Chadema maana ya kusajili ki digitali hawajui hata maana yake

Kujisajili kidigitali unaenda kupanga foleni? Sio online popote ulipo? Huo usajili wa kupanga foleni sio digital ni manual
 
Back
Top Bottom