Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Jiulize kwanini wagombea wetu wote wamekuwa wakipita na kushinda katika kila nafasi tunayoweka mtu. Hao wakenya hawana ushawishi nje ya mipaka yao wala hawajawahi kuwa na ushawishi wa kihistoria kama ilivyo kwa Tanzania.
Mimi pia huwa najiuliza inakuwaje nchi inayoongozwa na vilaza kushinda nafasi hizo? Nika fanya utafiti na kugundua kuwa hizo ni zawadi tunayopewa kwa viongozi wetu kuuza rasilimali za nchi yetu!
Mfano hai ni kuchaguliwa kwa Tulia Ackson kuwa Mwenyekiti wa mabunge ; ushindi wake ulitokana na kuungwa mkono na nchi nyingi za kiarabu na Masha riki ya kati Baada ya kampuni ya DpWorld kutumia fedha nyingi kumfanyia kampeni Tulia!
DpWorld Hawakufanya kazi hiyo bure, kama mtakumbuka hii ndio kampuni ambayo Samia aliwauzia bandari zetu za Tanganyika!
 
Wivu tu ndio unakusumbua wewe
 
Angekuwa makini kusoma na kupitia nyaraka asingejifunga goli kama alilojifunga hadi kauza bandari kwa DP World.

Yawezekana hapo alikuwa busy kusoma route ya safari inayofuata ya kwenda kuomba mkopo maana ndio anachoweza.
 
Tatizo lako kwenye huu uzi ni kwamba hujui kitu kingine zaidi ya Samia tu, hujui kuwa Salva Kiir Mayardit ni dhaifu wa mwili kiafya...
 
Huyo wa kulia kwake nahisi ni mgonjwa, aliwahi kuwekwa mtandaoni haja ndogo ikimtoka, sidhani kama ana udhibiti nayo kwa sasa.
 
Tatizo lako kwenye huu uzi ni kwamba hujui kitu kingine zaidi ya Samia tu, hujui kuwa Salva Kiir Mayardit ni dhaifu wa mwili kiafya...
Kwani wewe ndiye Daktari wake? Amelazishwa kuwa Rais na kuwepo hapo? Kama ni dhaifu kwanini asipishe watu wengine wenye uwezo na utimamu wa akili na Mwili waongoze Nchi
 
Huyo wa kulia kwake nahisi ni mgonjwa, aliwahi kuwekwa mtandaoni haja ndogo ikimtoka, sidhani kama ana udhibiti nayo kwa sasa.
Sasa kwanini asiachie ngazi na kupisha wengine waongoze Nchi
 
Tatizo lako kwenye huu uzi ni kwamba hujui kitu kingine zaidi ya Samia tu, hujui kuwa Salva Kiir Mayardit ni dhaifu wa mwili kiafya...
Hata Salva Kiir mwenyewe hakumjua hadi ulipomtajia aliyepo pembeni ya mama yao ni nani achilia mbali matatizo yake ya kiafya hawezi kuyajua .

Huyu ni zoa zoa tu kuna siku watakuja kusema hata Samia anapaka wanja vizuri kuliko wanawake wote wa Tanganyika yote hiyo ni kumpa sifa huyo bibi wa Unguja.

Na kuhusu kusinzia mbona mfano hai ni makamu mweyeki wao ndio anaongoza kusinzia mijadala ikiwa inaendelea.
 
Usikute hata haelewi mtu mwenyewe form four failur au hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…