Ila jamii kuna watu, sasa suala la mwezi mchanga limefikaje hapaMwezi mchanga
View attachment 3237148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamii kuna watu, sasa suala la mwezi mchanga limefikaje hapaMwezi mchanga
View attachment 3237148
Mbona no za cm ulikuwa unaweka? hovyo kabisaPicha ya nini. Kwani umeambiwa Nimepotea hadi picha yangu iwekwe hapa. Weka yako ili upelekwe Mirembe.
Kwani hiyo namba ya simu ilikuwa na picha yangu?Mbona no za cm ulikuwa unaweka? hovyo kabisa
Picha ya shambani wewe mjingaKwani hiyo namba ya simu ilikuwa na picha yangu?
Ili ufanye nini na picha za shambani kwangu. Au unafikiri nalima yale majani unayojifukiza kichwani mwako.Picha ya shambani wewe mjinga
Hahahahaha Lucas Panya MwashambwaIli ufanye nini na picha za shambani kwangu. Au unafikiri nalima yale majani unayojifukiza kichwani mwako.
Mimi pia huwa najiuliza inakuwaje nchi inayoongozwa na vilaza kushinda nafasi hizo? Nika fanya utafiti na kugundua kuwa hizo ni zawadi tunayopewa kwa viongozi wetu kuuza rasilimali za nchi yetu!Jiulize kwanini wagombea wetu wote wamekuwa wakipita na kushinda katika kila nafasi tunayoweka mtu. Hao wakenya hawana ushawishi nje ya mipaka yao wala hawajawahi kuwa na ushawishi wa kihistoria kama ilivyo kwa Tanzania.
Wivu tu ndio unakusumbua weweMimi pia huwa najiuliza inakuwaje nchi inayoongozwa na vilaza kushinda nafasi hizo? Nika fanya utafiti na kugundua kuwa hizo ni zawadi tunayopewa kwa viongozi wetu kuuza rasilimali za nchi yetu!
Mfano hai ni kuchaguliwa kwa Tulia Ackson kuwa Mwenyekiti wa mabunge ; ushindi wake ulitokana na kuungwa mkono na nchi nyingi za kiarabu na Masha riki ya kati Baada ya kampuni ya DpWorld kutumia fedha nyingi kumfanyia kampeni Tulia!
DpWorld Hawakufanya kazi hiyo bure, kama mtakumbuka hii ndio kampuni ambayo Samia aliwauzia bandari zetu za Tanganyika!
Acha dharau dogo.Hahahahaha Lucas Panya Mwashambwa
Wewe chawa umefilisika Kiakili ni bora ukae kimya kwani umekuwa. aibu kwa jamii ya watu wa Mbozi!Wivu tu ndio unakusumbua wewe
Mimi siyo chawaWewe chawa umefilisika Kiakili ni bora ukae kimya kwani umekuwa. aibu kwa jamii ya watu wa Mbozi!
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Huyo wa kulia kwake nahisi ni mgonjwa, aliwahi kuwekwa mtandaoni haja ndogo ikimtoka, sidhani kama ana udhibiti nayo kwa sasa.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani wewe ndiye Daktari wake? Amelazishwa kuwa Rais na kuwepo hapo? Kama ni dhaifu kwanini asipishe watu wengine wenye uwezo na utimamu wa akili na Mwili waongoze NchiTatizo lako kwenye huu uzi ni kwamba hujui kitu kingine zaidi ya Samia tu, hujui kuwa Salva Kiir Mayardit ni dhaifu wa mwili kiafya...
Sasa kwanini asiachie ngazi na kupisha wengine waongoze NchiHuyo wa kulia kwake nahisi ni mgonjwa, aliwahi kuwekwa mtandaoni haja ndogo ikimtoka, sidhani kama ana udhibiti nayo kwa sasa.
Hata Salva Kiir mwenyewe hakumjua hadi ulipomtajia aliyepo pembeni ya mama yao ni nani achilia mbali matatizo yake ya kiafya hawezi kuyajua .Tatizo lako kwenye huu uzi ni kwamba hujui kitu kingine zaidi ya Samia tu, hujui kuwa Salva Kiir Mayardit ni dhaifu wa mwili kiafya...
Wewe kama sio chawa ni nani? Kiroboto?!Mimi siyo chawa