Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Wewe una uhakika gani kuwa Samia pale alipo hana matatizo ya kiafya na unene wote huo alio nao?
Rais wetu Mpendwa ni mzima wa Afya kimwili na kiakili.ndio maana unaona anachapa kazi bila kupumzika wala kuonyesha uchovu. Anapiga kazi usiku na mchana . Ni mkakamavu Utafikiri ndio ametoka kumaliza mafunzo ya ukomandoo
 
Waarabu nchi 22
Taja waarabu gani wamepewa mbuga ,omani omani tu taja kwajina nani kapewa mbuga
If you sale people will buy dont blame the buyer
 
msinziaji mkuu huyo hapo
 
Kamwambia camera man naanza Kufungua makabrasha chukua picha za kurusha mtandaoni fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…