Mimi Sina wivu bali nina uchungu sana kwa maliasili ya nchi yangu kuibiwa na hawa “ MANGUNGO” wa ccm ; wakitetewa na nyie viroboto!Wivu tu ndio unakusumbua wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Sina wivu bali nina uchungu sana kwa maliasili ya nchi yangu kuibiwa na hawa “ MANGUNGO” wa ccm ; wakitetewa na nyie viroboto!Wivu tu ndio unakusumbua wewe
VEO wahi ofisiAcha dharau dogo.
Wewe una uhakika gani kuwa Samia pale alipo hana matatizo ya kiafya na unene wote huo alio nao?Sasa kwanini asiachie ngazi na kupisha wengine waongoze Nchi
Ni msema kweli na Ni mzalendo wa dhati wa Taifa letu la TanzaniaWewe kama sio chawa ni nani? Kiroboto?!
Mimi ni mkulima na siyo VEOVEO wahi ofisi
Rais wetu Mpendwa ni mzima wa Afya kimwili na kiakili.ndio maana unaona anachapa kazi bila kupumzika wala kuonyesha uchovu. Anapiga kazi usiku na mchana . Ni mkakamavu Utafikiri ndio ametoka kumaliza mafunzo ya ukomandooWewe una uhakika gani kuwa Samia pale alipo hana matatizo ya kiafya na unene wote huo alio nao?
Toa ujinga wako hapaMimi ni mkulima na siyo VEO
Waarabu nchi 22Ninyi ndio wasaliti wakubwa wa Tanganyika, na vizazi vyenu vya baadaye. Mtu amegawa rasilimali zote muhimu za Tanganyika kwa waarabu, halafu mnajitoa ufahamu na kumpamba!! Mlaaniwe watu ninyi, hamna faida.
Yaani mmekosa hata akili ndogo kabisa ya kujiuliza:
Hivi mwarabu anapopewa mbuga ya wanyama kwa mgongo wa uwekezaji, anawekeza nini kwenye mbuga? Ameleta twiga toka uarabuni?
Mwarabu anapopewa hifadhi ya misitu asilia kwa mgongo wa uwekezaji, amewekeza nini? Ameleta mobanga, mininga au mitundu kutoka Oman
Acha moshi dogo.Toa ujinga wako hapa
UtaumiaAcha moshi dogo.
Utaumia wewe ujipakiae moshi kichwani bila kujihurumiaUtaumia
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muda siyo mrefu utayatimbaUtaumia wewe ujipakiae moshi kichwani bila kujihurumia
Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe. Kwa hiyo akamwambia pia huyo wa pembeni yake asinzieKamwambia camera man naanza Kufungua makabrasha chukua picha za kurusha mtandaoni fasta.
Eeh na meza na viti na mic aliwaambia waweke. Acha uchawa akili zikurejeeNaona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe. Kwa hiyo akamwambia pia huyo wa pembeni yake asinzie