Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

vipi hali ya makamu mwenyekiti wetu hapo GOMBE??
 
Hicho kiumbe ninachokiona kimevaa kofia ya pama pembeni kwa Mweshimiwa Raisi hivi ni ndo saliva kii yule wa Sudan vita isiyoisha au ni nini
 
Samia angekuwa nembo ya Africa, leo hii candidate waliokuwa wanampigia debe Raila Odinga angeshinda Kule ADIS Ababa!!
She has no standing, she is a decoy of corrupt business men!
Jiulize kwanini wagombea wetu wote wamekuwa wakipita na kushinda katika kila nafasi tunayoweka mtu. Hao wakenya hawana ushawishi nje ya mipaka yao wala hawajawahi kuwa na ushawishi wa kihistoria kama ilivyo kwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…