JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Tusubiri oktoba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oktoba itakuwa ni kutimiza wajibu tu .maana Tayari Rais wetu ni mshindi kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania na kinachosubiriwa ni uapisho wake tu kuendelea na muhula wa pili wa kuliongoza Taifa letu.Tusubiri oktoba
Sawa mkuu, muda utaongeaOktoba itakuwa ni kutimiza wajibu tu .maana Tayari Rais wetu ni mshindi kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania na kinachosubiriwa ni uapisho wake tu kuendelea na muhula wa pili wa kuliongoza Taifa letu.
Nyie Watanzania wa kupakwa rangi mkae squareWivu tu ndio unakutesa
Umewahi kumwita hivyo mama yako aliyekubeba miezi 9 tumboni mwake?Mademu sio wa kuwaamini
Nb neno demu lisionekane km kutweza
Acha utoto wakoNyie Watanzania wa kupakwa rangi mkae square
😂😂😂Labda wewe ndiye huelewi kitu. Rais wetu ni mtu makini sana
vipi hali ya makamu mwenyekiti wetu hapo GOMBE??Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndio ni mwenyewe RAIS wa Sudan kusinHicho kiumbe ninachokiona kimevaa kofia ya pama pembeni kwa Mweshimiwa Raisi hivi ni ndo saliva kii yule wa Sudan vita isiyoisha au ni nini
Simjui mimi.Huyo anaesinzia ana pacha wake ambae ni makamu mwenyekiti .
Kama unamjua mtaje
Simjui mimi.
Wasira ni Ukoo wa watu wengiMzee Wasira unamjua?
Mzee steven M.Wasira unamjua?Wasira ni Ukoo wa watu wengi
. Kwa hiyo ungeuliza swali Kisomi kwa kutaka majina yote ya muhusika
Samia angekuwa nembo ya Africa, leo hii candidate waliokuwa wanampigia debe Raila Odinga angeshinda Kule ADIS Ababa!!Kwa sasa RAIS Samia ndio Nembo ya Afrika na ndiye kiongozi anayetegemewa kutoa mwelekeo katika masuala mazito.
Jiulize kwanini wagombea wetu wote wamekuwa wakipita na kushinda katika kila nafasi tunayoweka mtu. Hao wakenya hawana ushawishi nje ya mipaka yao wala hawajawahi kuwa na ushawishi wa kihistoria kama ilivyo kwa Tanzania.Samia angekuwa nembo ya Africa, leo hii candidate waliokuwa wanampigia debe Raila Odinga angeshinda Kule ADIS Ababa!!
She has no standing, she is a decoy of corrupt business men!
jifunze kuizoea na kuipenda 😀 , b"se CCM supremacy is infiniteYanayofanywa Na CCM Mengi Yanatia Kinyaa
