strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Ni mtu wake alimuandaa, hakuna kitu hapo.
Wee jamaa unaakili sana kamata like hizi ishu za kupangwa tu wakamnunulia bia basi,jitu zima litamliliaje mwanaume mwezie!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu wake alimuandaa, hakuna kitu hapo.
Wee jamaa unaakili sana kamata like hizi ishu za kupangwa tu wakamnunulia bia basi,jitu zima litamliliaje mwanaume mwezie!?
HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILOUsiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baadaya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKAkwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana aliyeangua kilio akishinikiza anionena kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani ninawatu out there walio upande wangu,watuwanaonipenda kwa dhat kabisa.nikiwa backstagekulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyuambaebahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikizaapewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulinganana utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kuliampka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwakuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupigapicha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGUBackstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha woteNikijaribu kumbembeleza akimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka wapige picha tena
Ilibidi Diamond ashuke kabisa kwenye gari ,akazungumzanae nakupiga picha ndipo akatulia
Akielezea furaha yake na sababu ya kufanya vile
Mimi nishawahi kumuomba demu aigize mbele za watu kwamba ananibabaikia sana, bahati nzuri alikubali.
acha uf@lasi, unaquote habari nzima kwaajili ya utumbo huo uloandika, si ungecomment kavukavu watu wakaelewa yakaisha, unavitakia nn visimu vya wenzako vya mchina?
alafu anaonekana strong kumbe rama chande
ina mana dimond hana dreva ila anamlinzi naona hapo katoka kwenye show halafu anaendesha mwenyewe
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kutusaidia hili.