Tazama picha 10 za jamaa aliyeangua kilio kikubwa kisa ataka kupiga picha na Diamond Platnumz

Tazama picha 10 za jamaa aliyeangua kilio kikubwa kisa ataka kupiga picha na Diamond Platnumz



HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILO
Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana
aliyeangua kilio akishinikiza anione
na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina
watu out there walio upande wangu,watu
wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU
Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
Nikijaribu kumbembeleza
akimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka wapige picha tena



Ilibidi Diamond ashuke kabisa kwenye gari ,akazungumza
nae nakupiga picha ndipo akatulia

Akielezea furaha yake na sababu ya kufanya vile

Mimi nishawahi kumuomba demu aigize mbele za watu kwamba ananibabaikia sana, bahati nzuri alikubali.
 
Mimi nishawahi kumuomba demu aigize mbele za watu kwamba ananibabaikia sana, bahati nzuri alikubali.

acha uf@lasi, unaquote habari nzima kwaajili ya utumbo huo uloandika, si ungecomment kavukavu watu wakaelewa yakaisha, unavitakia nn visimu vya wenzako vya mchina?
 
acha uf@lasi, unaquote habari nzima kwaajili ya utumbo huo uloandika, si ungecomment kavukavu watu wakaelewa yakaisha, unavitakia nn visimu vya wenzako vya mchina?

Mi mwenyewe nina phone, shida ni nini tena? Una boa
 
ina mana dimond hana dreva ila anamlinzi naona hapo katoka kwenye show halafu anaendesha mwenyewe
 
Gun muhim sanaa kwa vilaza Kama ilo linalia bila sababu eti lishabik
 
huyo atakuwa ni mtoto mchelemchele chakula ya watu…. anapakuliwa tope si bure… wanaume watakuwa wanakula kachuri si bure
 
Back
Top Bottom