Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Tuma GB 3 nikutumie humu jukwaani. 😃😃😃😃😃Jamani mwenye ile clip alipokua anamfata Magu kwa magoti huku analia na kamasi nyingi sana atuwekeee🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma GB 3 nikutumie humu jukwaani. 😃😃😃😃😃Jamani mwenye ile clip alipokua anamfata Magu kwa magoti huku analia na kamasi nyingi sana atuwekeee🤣🤣🤣🤣
Hujioni Kama una bipolar disorder ambayo ni ugonjwa mbaya Sana hasa kwa Opportunistic Kama wewe?Jibu swali ndugu yangu na siyo kusema habari za dawa hapa maana hakuna mgonjwa anayehitaji dawa.
Acha uongo wako hapa wewe.tangia lini mwanasiasa mkongwe na mzoefu na machachali kama Mheshimiwa Nape Moses Nnauye akatoa machoziAmemaanisha kipindi alichokwenda ikulu kwa miguu akilia
Embu acha ujinga wako dogo.utakula ban dogoAmemaanisha hivi
Eti Mtu huyo ni waziriDawa ya huyu jamaa alikuwa JPM
Killa mtu ana nafasi ndani ya CCM.
Nafasi ipi ni kutokana na uwezo wake.
Thamani yako ni sawa na Msukuma na Kibabaji; je inatosha kwenye nafasi za serikali (hapana).
Kuna machawa wengi wa CCM humu ndani ya JF kwa maslahi tofauti na wengine wana nyadhifa au washashika nyadhifa ambapo uongozi uliopo unalinda maslahi yao.
Kwa kazi unayo ifanya humu, ukiona mtu kama Jokate anapanda ndani ya chama au Niki wa pili anakuwa mkuu wa wilaya bila ya jitihada; elewa wewe kupenya ni kupitia either nafasi ya ushawishi wa siasa diwani au mmbunge.
Vinginevyo washakupima huna uwezo wa nafasi za serikali na wana watu wao humu wa kupima tabia, unaweza shinda jukwaa la siasa kuisifia CCM; halafu una ID nyingine ya chit-chat kuongelea ujinga awawezi kukupendekeza serikalini mtu kama huyo.
Naona nikupe tips tu maana unatia huruma humu.
Hizo ni dua za kuku tu. CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.huwezi ukaitengaisha CCM na Taifa hiliKama ulikiwa hufahamu basi maana yake ni hii hapa; Chama chako cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wako, wameanza kuyakwapua majoka yenye sumu kali kutoka upinzani.
Na mbaya zaidi wanayakwapua kwa kushikilia mkiani! Sasa siku yakigeuka na kuwauma, maana na ccm nayo itajifia kifo kibaya sana cha kugongwa na hayo majoka yenye sumu kali.
Na katika hili, binafsi naombea litokee mpema ili nchi ipate maendeleo ya kweli.
Nape (Ndege) amebeba Nyoka, akamtupie kwenye chura, ili nyoka akamle chura ! Msiniulize Chura ni nani labda ni yangaNdugu zangu Watanzania,
Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani?
View attachment 3033030
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hekima za babuKama ulikiwa hufahamu basi maana yake ni hii hapa; Chama chako cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wako, wameanza kuyakwapua majoka yenye sumu kali kutoka upinzani.
Na mbaya zaidi wanayakwapua kwa kushikilia mkiani! Sasa siku yakigeuka na kuwauma, maana na ccm nayo itajifia kifo kibaya sana cha kugongwa na hayo majoka yenye sumu kali.
Na katika hili, binafsi naombea litokee mpema ili nchi ipate maendeleo ya kweli.
Huna namba, wanakufikiaje pale ajenda inapotakiwa kusambaa?.Sina namba yake ndugu yangu mtanzania
Ungeacha wenye akili kubwa na wanaojitambua wajadili hoja hii.wewe subiri hoja zenye kuendana na uwezo wako.Hujioni Kama una bipolar disorder ambayo ni ugonjwa mbaya Sana hasa kwa Opportunistic Kama wewe?
Hakuna kitu kama hicho.Msigwa huyo kanyakuliwa sasa anapelekwa jehanamu kumalizia Enzi zake kama Waitara Ma K - Vant
Ndugu CCM sio wajinga hiko chama kina wataalamu.
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania.Ndugu CCM sio wajinga hiko chama kuna watu.
Wanaelewa kupata nafasi kuna wivu na majungu.
Kama wanakutaka watakupekuwa inavyohitajika wao wenyewe kujiridhisha unawafaa au la.
Sasa kushinda hapa na hoja żako thamani yako ni ya kibabaji na Msukuma (you are not academic) aina maana you are not useful kwenye siasa za udiwani au mmbunge.
Then kuna swala la nafasi za serikalini kama una ID nyingine inayochangia utumbo chit-chat mjomba utoboi.
Huo upuuzi unao ongea na ephen_ publicly utoboi miaka wanakuona mpuuzi kwa nafasi za serikali. Ulizobakiza za kichama.
Nakushauri tu kwa level yako, maana kuna machawa vigogo humu uchawa wako na wao ni tofauti.
Mimi ni mtu makini ,muadilifu,mzalendo,mchapa kazi,mwenye maono na akili ya kupambanua mambo ambaye naweza kufanya kazi mahali popote pale na kuleta matokeo chanya na yenye kugusa watu kwa hiyo unaposema mimi akili yangu sijuwi imefanyaje unakuwa unanikosea sana Ndugu yangu.Ndugu CCM sio wajinga hiko chama kuna watu.