Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

Killa mtu ana nafasi ndani ya CCM.

Nafasi ipi ni kutokana na uwezo wake.

Thamani yako ni sawa na Msukuma na Kibabaji; je inatosha kwenye nafasi za serikali (hapana).

Kuna machawa wengi wa CCM humu ndani ya JF kwa maslahi tofauti na wengine wana nyadhifa au washashika nyadhifa ambapo uongozi uliopo unalinda maslahi yao.

Kwa kazi unayo ifanya humu, ukiona mtu kama Jokate anapanda ndani ya chama au Niki wa pili anakuwa mkuu wa wilaya bila ya jitihada; elewa wewe kupenya ni kupitia either nafasi ya ushawishi wa siasa diwani au mmbunge.

Vinginevyo washakupima huna uwezo wa nafasi za serikali na wana watu wao humu wa kupima tabia, unaweza shinda jukwaa la siasa kuisifia CCM; halafu una ID nyingine ya chit-chat kuongelea ujinga awawezi kukupendekeza serikalini mtu kama huyo.

Naona nikupe tips tu maana unatia huruma humu.
 
 
Hizo ni dua za kuku tu. CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.huwezi ukaitengaisha CCM na Taifa hili
 
Nape (Ndege) amebeba Nyoka, akamtupie kwenye chura, ili nyoka akamle chura ! Msiniulize Chura ni nani labda ni yanga
 
Hekima za babu
 
Ndugu CCM sio wajinga hiko chama kina wataalamu.

Wanaelewa kupata nafasi kuna wivu na majungu.

Kama wanakutaka watakupekuwa inavyohitajika wao wenyewe kujiridhisha unawafaa au la.

Sasa kushinda hapa na hoja żako kwa sasa thamani yako ni sawa na ya kibabaji au Msukuma (you are not academic) aina maana you are not useful kwenye siasa za udiwani au mmbunge.

Then kuna swala la nafasi za serikalini kama una ID nyingine inayochangia utumbo chit-chat mjomba utoboi wanajua.

Huo upuuzi unao ongea na ephen_ publicly utoboi miaka 800 serikalini wanakuona mpuuzi kwa nafasi za serikali. Opportunities ulizobaki nazo ni za kichama.

Nakushauri tu kwa level yako, maana kuna machawa vigogo humu uchawa wako na wao ni tofauti.
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania.
 
Mimi ni mtu makini ,muadilifu,mzalendo,mchapa kazi,mwenye maono na akili ya kupambanua mambo ambaye naweza kufanya kazi mahali popote pale na kuleta matokeo chanya na yenye kugusa watu kwa hiyo unaposema mimi akili yangu sijuwi imefanyaje unakuwa unanikosea sana Ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…