Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

Good luck

Sikio la kufa alisikii dawa
🙏🙏Tuungane kuijenga nchi na Taifa letu. Tukosoane kwa heshima,busara na staha.sote tunajenga nyumba moja. Mimi penye ushauri huwa napokea na penye kuhitaji kujisahihisha huwa nafanya hivyo.hii ni kwa kutambua ukweli kuwa hakuna mwanadamu aliye kamilika chini ya jua.
 
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua
 
Wenye akili ya kuamua unafaa wapi wanakusoma humu

Na moderators wanawapa IDs żako zote.

Sisi wengine aturuhusiwi kuwa na ID zaidi ya moja kuwachanganya. Tukifanya hivyo tu mods wanafunga moja.

Sasa kazi kwako elewa wanakusoma na kukupima unawafaa wapi kutokana na uwezo wako. Kwa sasa ni level ya msukuma na kibabaji, serikalini kama una ID nyingine chit-chat ya upuuzi wanakusoma na wanajua risk wanazobeba kukupa nafasi.

Couldn’t care less about your nonsense, naona una angaika sana tu kutetea ujinga at times.
 
Work on advice given
 
Kwanza ningependa kukujibu kuwa mimi sina ID zaidi ya hii niitumiayo ambayo ni halisia. Ninayo moja tu hii na nitaendelea kuwa nayo hii tu.

Pili sipo hapa jukwaani kwa ajili ya kuandika ujinga au kutafuta fadhila kutoka kwa mtu au kuandika unafiki. Mimi ni msema kweli Daima japo ukweli wangu unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu wasiopenda kuambiwa ukweli. Habari ya kusema nimeandika ujinga au vibaya inategemeana na mtizamo wako na upande ulioamua kusimamia wewe. Kwa hiyo siyo lazima uniunge mkono katika kila andiko na sitegemei iwe hivyo kuungwa mkono na kila mtu humu jukwaani.
 
Akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Embu acha ujinga wako dogo.utakula ban dogo
Wewe mbona unanitishia ban mwenzako mimi naingia humu kama moja ya burudani zangu nyingi tu nikipigwa ban naenda kucheza tennis nikitoka hapo napata kinywaji na burudani nyingine tu sasa wewe unayeitegemea JF kukupatia mlo wa siku ndiyo unaogopa ban.
 
Mlo wangu wa chakula unapatikana shambani na siyo humu jukwaani.kwani ulishaambiwa jukwaa hili lina stoo ya chakula au jiko la kupikia Chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…