Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

Kanaswa kisawasawa. Kajificha porini, lakini leo kachomolewa na kupaishwa mita 1000 juu na kila mtanzania anamuona huku chadema wakiwa wamelowa na vichwa chini.
Huo ni mtizamo wako na asante kwa mawazo yako
 
Chadema wameliwa...Issue ya msigwa!!
 
Anamaanisha utekaji ndio utazidi Kwa wakosoaji wa Serikali Ili kuwatisha.
 
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Waziri
Yaani wewe kila kiongozi ccm unasifia tu hata kama wa hovyo, dawa yako ilikuwa ukutane na yule mkuu wa mkoa wa Simiyu umsifie akutindue t.go hadi ushindwe kwenda shamba kulima kudadek🤣🤣
 
Huyu sio wa kumzingatia😁😁.

Kuna watu wakipost hivyo unatafakari,huyu wala usihangaike.
 
Kashamtuliza mtoto wa Baba wa zamani.
 
Ooh kumbe? Nyoka siku zote anakanyagwa kwenye Kichwa.....ukijisahau ukamkanyaga kwenye mkia umekwisha.
 
Kimbia kimbia lakini sisi tunakunyakuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…