Tazama video: Kumbe Country Boy ndio mshamba namna hii?

Kila mtu amlee mwanae, hayo mambo ya kupangiana kila mtu aishi kama unavyotaka wewe ni adabu za kale.
 
Kila mtu amlee mwanae, hayo mambo ya kupangiana kila mtu aishi kama unavyotaka wewe ni adabu za kale.
Na wewe umekuwa brain washed kama country boy. Sisi waafrika tunaishi katika.udugu wa kiafrika. Mtoto ni mali ya jamii nzima. Nikimuona mtoto wako ana haribikiwa napaswa kuumia kana kwamba ni mtoto wangu. Hivyo ndivyo waafrika tunavyo ishi tangu enzi za Pontyo wa Pilato.

Kwa mindset yako mkuu unatakiwa ukaishi brooklyn but sio Afrika.
 
Wewe pia huna tofauti na huyo Country Boy. Umeshindwa nini kuandika kwa lugha adhimu ya kiswahili ukachanganya na kiingereza? Watu mnaoandika kwa kuchanganya lugha akili zenu ni kama za huyo Country Wizzy.
 
Daaaaah Nyie watu waelevu mnatusumbua sana wenye akili za kawaida[emoji22]
 
Kila mtu amlee mwanae, hayo mambo ya kupangiana kila mtu aishi kama unavyotaka wewe ni adabu za kale.
Watoto ni lazima walelewe vyema na sio vile unavyotaka wewe. Bila hivyo tutaendelea kuzalisha vizazi vya panya road watakaokuja kutudhuru na kujaza magereza huku wakila Kodi ambao zingeweza kuleta maendeleo badala ya kulisha wahalifu.
 
Nakazia
 
Huyo chalii babake ni country boy baba mkubwa ni babuu wa kitaa na mama yake utakuta ni video vixen unategemea nini hapo?
Babuu wa kitaa yupo smart sana. Hana utoto utoto kama wa county wize na sidhani kama anaweza kumletea mtoto wake pigo hizo
 
Watoto ni lazima walelewe vyema na sio vile unavyotaka wewe. Bila hivyo tutaendelea kuzalisha vizazi vya panya road watakaokuja kutudhuru na kujaza magereza huku wakila Kodi ambao zingeweza kuleta maendeleo badala ya kulisha wahalifu.

LIKUD wewe ni judgemental sana. Life isn't like that bruh. Some other things aren't serious. As long as he provide for the junior, then he's a good father. Do you know how many children see their fathers only in the pictures?
 
Binafsi sijaona kosa.. kweli tunatofautiana aisee [emoji23]
 
Shida iko wapi hapo!!!??? Punguza chuki na roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…