Tazama video: Kumbe Country Boy ndio mshamba namna hii?

Country boy ni mshamba sana, design ya wannabe fulani anayeishi kwenye fantasy. Ni mtu mwenye njaa ya kutaka kuonekana mnyamwezi kuliko hata njaa ya kutafuta pesa.

Is there someone to tell that kid that he is African from third world he will never be Black American. Never ever

Though he is a very good guy!
 
You should be the one telling him that..🤣🤣🤣
 
Jay Z mwenyewe aliuza unga lakini watoto wake hawezi kuwaletea pigo za ki_street niggaz.
Jay-Z grew up in the in the Marcy Projects at a time when crack cocaine became a major threat to low income areas. His father left when he was 11 years old, leaving him to figure out life on his own. Nigga got composed , got out of projects now jamaa anaish Bel Air na watoto wanaishi decent. Usifanye mchezo na Trenches in the USA ni crime ridden areas na ni hatari sana, sasa sio vizuri kumlea mtoto like your raising a pimp in West Garfield Park in Chicago..
 
Nakazia
Hiki ndicho ninacho kizungumzia hapa ila vilaza hawawezi kujua ninacho kisema wamebaki kusema am a hater
 
Nakazia
 
We jamaa hata avatar yako imekaa kiwaki sana, kinafiki, kiroho mbaya yan una wivu wa kichawi na kipumbavu sana. Unajifanya unajua kila kitu we kuponda watu tu. Jirekebishe, blad fckn
 
We jamaa hata avatar yako imekaa kiwaki sana, kinafiki, kiroho mbaya yan una wivu wa kichawi na kipumbavu sana. Unajifanya unajua kila kitu we kuponda watu tu. Jirekebishe, blad fckn
K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…