Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

Wewe umeifanyia nini jamii? Vipi shule uliyosoma umeifanyia nini? Anza wewe ndipo ndugu malinzi afuate!

Unatetea nini sasa,utakula golf au utakunywa golf? Hlf mwenyewe ame declare kwamba ni kitega uchumi cha family yao sio cha community, we VP?
 
Mbona mbunge wenu Ashunta Mshuma huwa analamika kero za jimboni kwenu hata maji nayo ni kero, tatizo lenu WAHAYA ni ujivuni mnajifanya huko kwenu hakuna shida wala umaskini, acheni upuuzi huo Tanzania hii hakuna mahala ambapo maji siyo shida.
Hafu unataka kutuaminisha kuwa huko hata viwanja viko vizuri na vinamajani magoli mazuri,
Kweli nimeamini wahaya mnajivuna sana.


 
Owaishe, achana nao hawajui historia ya Malinzi family. Tunafanya mambo kama familia moja na hakuna individualism! Hiyo ni mali ya Malinzi family (Ta Emily) iliyopatikana kwa nguvu ya wote. Matola, after all these are private affairs!

Mkuu weka Malinzi Identity yako hapa ndio tukuamini kuwa na wewe ni mmoja wa wana familia. Malinzi ameishaongea na kumaliza ubishi.
 
Kitegauchumi cha watalii, hahahaa mimi sina ubongo wa samaki kama wewe, anawadanganya kivutio cha watalii wakacheze gofu misenyi, si bora anganzisha zoo, ili hata wewe uwe unampeleka mwanao akashangae wanyama.

Malinzi amefafanua kuwa hicho ni kitega uchumi na kivutio cha watalii, lakini wewe division five huelewi. Unataka tuwavutie watalii kwa kutumia makalio yako au?
 
Matola Chutama chap chap umeshavuliwa msuli..!
 
Last edited by a moderator:
Kwani kusaidia kwenu ni kuomba omba tatizo lenu WAHAYA mnajifanya huko kwenu hakuna shida wala maskini hawapo, yaani mnajifanya huko ni mabilione tu ndo waliopo Kagera, acheni ujivuni na sifa ambazo hazina mantiki. Kwani wewe ukijenga au kukarabati uwanja wa mpira vijana wakacheza utakuwa umeondokewa na nini?

 

kwani huo uwanja hapo misenyi utawafaidisha vijana? Zaidi watacheza watu wenye pesa wewe maskini utaenda kukenua meno tu na kuwaangalia lakini ingekuwa uwanja wa soka vijana wangekuza vopaji na hata kuachana na michepuko.


We jamaa unapenda vitu vya bure sana...yahani unalalamika kwanini Jamaal na familia hawajatoa msaada kwani wao wamekua USAid au TASAF..?? Watu wapo kibiashara zaidi..na golf si kwa ajili ya watu wa misenyi hiyo ni eneo tu..golf ni kwa ajili ya matajiri wachache na hiko hivyo dunia nzima...sasa we ka umekaa tu hufanyi kazi upo tu unapigia hesabu utajiri wa malinzi ukisubiri akupe vitu vya bure wakati mwenzako halali kila siku anawaza vyanzo vipya vya mapato ndugu yangu utakufa kwa umasikini siku si nyingi..
 
Hongera sana Malinzi family. Hawa jamaa wanapendana sana. Sasa mijitu kama Matola inakuja kujifanya inajua nani ndio mwenye cash.
Na nyie muige muendeleze makwenu. Acheni wivu wa kike.
Nawakubali sana familia hii.
Jamal, msikubali vidudu mtu kuwaingilia.
Hiyo ni pesa yao binafsi na wana uhuru wa kujenga wanachotaka.
Wewe unajua Malinzi family wamesaidia watu wangapi?
Wao sio watu wa kujitangaza kila wanachofanya.
Big up Malinzis. Dioniz, James, Jamal and all. Mungu awazidishie.
 
Kitegauchumi cha watalii, hahahaa mimi sina ubongo wa samaki kama wewe, anawadanganya kivutio cha watalii wakacheze gofu misenyi, si bora anganzisha zoo, ili hata wewe uwe unampeleka mwanao akashangae wanyama.

Wewe fa.la una mchango mkubwa sana katika umaskini wa hii nchi. Ukishakuwa na fikra za kimaskini namna hii ni vigumu sana kukomboa nchi yako kiuchumi. Akina Malinzi wamekuwa Pro Active, wanajua kuna fursa inakuja ya uwanja wa ndege wa kimataifa hapo Misenyi. Kuna mizungu kibao inatafuta Holiday destination huku Afrika lakini inakosa kwa vile hakuna vitu kama viwanja vya Golf kwa ajili ya wao kula burudani, kukiwa na uwanja kama huo then ukatangazwa watu wataenda tu. Ujinga wako ndio umaskini wako. Wewe kama ni maskini you never know mwanao atakuwaje, huenda ndiye atakayeenda kucheza Golf Misenyi. Think big wewe fa.la
 
Wewe ndiye mwenye fikra za kimaskini ndo maana nimekwambia unaubongo wa samaki kwenye kichwa lako, hivi unadhani wazungu wakija ndo umeuga umaskini? Hao wazungu wakija watawagawia pesa? Hebu jifikirie ungekuwa na vijana hata 2 tu kutoka hapo Misenyi wanaocheza mpira timu kubwa ulaya, huoni kuwa hata wewe ambaye unataka serikali ikufanyie kila kitu hao vijana wangeleta mabadiliko fulani hapo!!!, Undhani wazungu wakija hapo mtaambulia nini zaidi ya kuwapiga dada zenu katerero na kuwagawia kondomu ili mchepuke vizuri.

 
We chizi mimi sio Mhaya,,,

Pia walichokifanya akina Malinzi hakihusiani na Uhaya wao, hilo ni jambo la kimaendelea na fursa ya kibiashara. Misaada na huduma za kijamii ni kazi ya serikali au USAID, DFID, Bill Gates Foundation nk, sio kazi ya familia ya Malinzi kutatua shida za watanzania au wana Misenyi. Acha mawazo ya kimaskini bwana mdogo, fikiria siku moja na wewe kuja kuweka kitu kama hiki kijijini kwenu. We huoni hapo vijana wamepata kazi za kutunza nyasi hizo na wanakula mshahara. Kila mtu anayeongeza ajira moja kwa watanzania wenzake ana heri kwa kuwa ametatua shida za watanzania wenzake
 
Kwahiyo hiyo biashara inawasaidiaje wazawa wa hapo? na wewe unaubongo wa samaki kama mwenziyo anayedai eti wazungu watakuja. Subirini waje wawapige dada zenu katerero hafu nyie mtakuwa mnagawiwa kondomu ili mchepuke vizuri.

 
Unatetea nini sasa,utakula golf au utakunywa golf? Hlf mwenyewe ame declare kwamba ni kitega uchumi cha family yao sio cha community, we VP?
Hili ndilo tatizo letu watz linalopelekea hata mamlaka kuu kutangaza 'kilimo kwanza' badala ya 'elimu (ya kilimo) kwanza'. Kwenye maisha kuna preferences na hizi zinatofautiana kwa kila binadamu kama ilivyo alama za vidole. Ndio maana America wamekuja na wazo la 'liberty' ili kila mtu afikiri na kufanya kivyake mradi asivunje sheria za nchi.

Je, unataka kutuaminisha kuwa huko wanakokosa chakula na maji wamejenga viwanja vya golf!?
cc: kapalamsenga
 

Wewe Matola unajua familia ya Malinzi inavyo operate mbona unajifanya unajua undani wa familia wakati i am sure unasikia ya mtaani!
 




Picha za ziada na chanzo hapo chini. Hongera Jamal Malinzi
HARAKATINEWS BLOG: Viwanja vya Golf kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi Wilayani Missenyi

Hakuna Wilaya Tanzania inayoandikwa hivyo na "ss" katika Kiswahili na Kibantu kwa ujumla huwa tuna "S" moja tu, hivyo ni "Misenyi" na sio Missenyi!
 


Asante mkuu kwa kuamua kulitolea ufafanuzi mapema,naona chuki tayari zilishaanza,watu badala ya kuchangia wao ni wabunifu wa kejeli na matusi
 
Kwahiyo hiyo biashara inawasaidiaje wazawa wa hapo? na wewe unaubongo wa samaki kama mwenziyo anayedai eti wazungu watakuja. Subirini waje wawapige dada zenu katerero hafu nyie mtakuwa mnagawiwa kondomu ili mchepuke vizuri.

Huwa sina tabia ya kuattack character ya mtu hapa JF ila ndugu yangu nakuona unamatatizo...unachofanya ni kuongea tu sababu JF hatulipii...
Familia ya malinzi si wazawa kwahiyo tayari walishajinufaisha pili hata mkata nyasi za uwanja nae ni mzawa tayari kaishafaidika..walinzi...na wafanyakazi wengine list ya watu inaendelea na kuendelea..sa sijui we ulitaka mpaka umuone kokushubila kashika stick ya golf ndio uone wazawa wanafaidika..au ulitaka wafungue soko la mazao ili kila bojo aje kuuza ndizi na nsholo ndio utaona wazawa wamefaidi..in fact ye haifanyi hiyo biashara kufaidisha wazawa..kwani wao hao wazawa wamemfaidisha na nini...
Ebu start thinking out of the box..mawazo yako husiyalimit sana katika mtazamo mmoja kwamba kwa kuwa we ni mwalimu kwahiyo biashara yako ni lazima hiwe tuisheni tu na nilazima uifanyie mtaani kwako ili majirani wafaidike...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…