OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Tunaamini utaishawishi serikali ifufue michezo mashuleni.
Kama ni kitega uchumi cha familia, then aliyeanzisha hii thread asifanye ionekanye sivyo.
Vinginevyo ataonekana anatumika tuu kama waandishi wengine wa habari tuliowazoea.
Pia kama ni private affairs, kwa nini then waje kutanganza kwenye public forums?
Imagine kila mtu angekuja kutangaza vitega uchumi vyao binafsi humu ingekuwaje?
Unless ni tangazo la biashara ambapo kuna forum yake, private affairs should always remain private lakini kama ukiamua kuweka maisha yako binafsi humu jiandae kuwa scrutunized positively or negatively na watumiaji wa forum.
Further, heading ya thread is completely misleading na sijui kama hili limefanywa kwa makusudi or innocently, though aliyeleta hii "private affairs" kwenye "public forums" ni mwandishi wa habari.
Of course, Matola ametumia lugha kali, but hey this is a public forum and don't expect to be treated differently simply because una stutus fulani kwenye jamii au jambo linalojadiliwa is your "private affairs".
When you bring your "private affairs" to be discussed in this public forum prepare to expect the unexpected.
Mbona unakuwa mkali?
Haya ndio maneno sasa habari ya golf weka huko kando!!!!!!
Huo ni mradi wa familia na sasa kwenye soka afanye hivi hivi.
Kaka weee ndugu yangu tuyaache haya maana tutaamsha yaliyolala!!!!!
Ngoja tufunike kombe mwanaharamu apite
Kama ni kitega uchumi cha familia, then aliyeanzisha hii thread asifanye ionekanye sivyo.
Vinginevyo ataonekana anatumika tuu kama waandishi wengine wa habari tuliowazoea.
Pia kama ni private affairs, kwa nini then waje kutanganza kwenye public forums?
Imagine kila mtu angekuja kutangaza vitega uchumi vyao binafsi humu ingekuwaje?
Unless ni tangazo la biashara ambapo kuna forum yake, private affairs should always remain private lakini kama ukiamua kuweka maisha yako binafsi humu jiandae kuwa scrutunized positively or negatively na watumiaji wa forum.
Further, heading ya thread is completely misleading na sijui kama hili limefanywa kwa makusudi or innocently, though aliyeleta hii "private affairs" kwenye "public forums" ni mwandishi wa habari.
Of course, Matola ametumia lugha kali, but hey this is a public forum and don't expect to be treated differently simply because una stutus fulani kwenye jamii au jambo linalojadiliwa is your "private affairs".
When you bring your "private affairs" to be discussed in this public forum prepare to expect the unexpected.
Alipelekwa milembe akatatoroka.
Kitega uchumi cha familia haina maana ni "private affairs" kwa sababu bado lengo ni ku-attract public participation. Kinachokosewa ni kumlazimisha mtu ajenge viwanja vya mpira wa miguu etc, etc, etc just because ame-invest kwenye viwanja vya golf...!
Wewe unadhani Gymkhana wanagawa pilau pale? leo ijumaa nenda kapange foleni kwa Bakhresa na ombaomba wenzako wavaa vipedo kima wewe.
Teh teh teh!
Mkuu huu mchezo wa kichaga unataka kumletea
Huyo ni mtu wa songea!.
naomba ukanushe hapa kuwa wewe si mtu wa songea kwani songea haizalishi wajing.a kama wewe. We kwenu wapi?leo ijumaa nenda kapange foleni kwa bakhresa na ombaomba wenzako wavaa vipedo kima wewe.