Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi


Aissee we ndugu ni noma..bado tu king'ang'azi ilimaradi uonekane umeshinda aya basi tufanye umeshinda...duh
Kama tatizo sio kabila lako basi tatizo ni kiwango cha elimu yako..
Kama ushauri tu ndugu yangu kajifunze argumentation skills zitakusaidia kufit humu JF na maishani kwa ujumla...
Naona hapa umeweka vitu hata ambavyo havina relevance na topic..
Mara sijui watunga sera..sijui Serikali na makampuni ya madini...faida ndogo ndogo...NDUGU WAPI NA WAPI hapa
We unachanganya issue kabisaa na nahisi hujui hata kinachozungumziwa hapa...
Kwa kusaidia ni kwamba familia ya malinzi imeamua kufanya biashara na biashara hiyo ni kujenga kiwanja cha mchezo wa gulf..na sio yule Malinzi wa TFF pekee bali ni familia yao..na hata angekua yeye bado ni biashara yake ya kumuongezea kipato nje ya TFF...sa ni vipi umpangie nini cha kufanya na hela..yahani kitega uchumi cha familia we unataka waanze kutoa msaada wa visima au wajenge viwanja vya mpira hili vijana wacheze tu...hivi are you serious kaka..
Nausipo nielewe na hapa basi tena kaka tukubaliane kutokukubaliana
 
Badala awachimbie maji ya visima wananchi wamshukuru anajenga viwanja vya gofu si bora angekarabati viwanja vya mipira ktk shule za sekondari na msingi
hata wewe unaweza kujitolea kuchimba kisima kijijini kwenu nasi/watu wakapata maji. Tujifunze kuwapa moyo wanaofanya vizuri. Hongera Malinzi.
 
Mukuru unatisha. Umefanya mambo tunayotamani tufanye majumbani.
Mbarikiwe!!
 
Uchaguzi wa ubunge unakaribia 2015
Hili jimbo alinaga permanent mbunge tutegeme kitu...
 

Maeneo hayo..........tatizo tatizo la maji hakuna.....we unag'ang'ania nini?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…