Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 518
Tatizo lako unaangalia vitu virahisi tu, huna tofauti na watunga sera wetu, ambao wanakomaa na makampuni ya madini na mafuta kununua mboga na matunda kutoka Tanzania badala ya kuboresha sheria ya madini ili hao jamaa waache kukwepa kodi ya mabilioni kuliko kununua mboga na matunda za malaki/mamilioni.
Acha kufikiria faida ndogondogo badala ya kufikiria faida kubwa mabayo watu wengi wangefaidika.
Aissee we ndugu ni noma..bado tu king'ang'azi ilimaradi uonekane umeshinda aya basi tufanye umeshinda...duh
Kama tatizo sio kabila lako basi tatizo ni kiwango cha elimu yako..
Kama ushauri tu ndugu yangu kajifunze argumentation skills zitakusaidia kufit humu JF na maishani kwa ujumla...
Naona hapa umeweka vitu hata ambavyo havina relevance na topic..
Mara sijui watunga sera..sijui Serikali na makampuni ya madini...faida ndogo ndogo...NDUGU WAPI NA WAPI hapa
We unachanganya issue kabisaa na nahisi hujui hata kinachozungumziwa hapa...
Kwa kusaidia ni kwamba familia ya malinzi imeamua kufanya biashara na biashara hiyo ni kujenga kiwanja cha mchezo wa gulf..na sio yule Malinzi wa TFF pekee bali ni familia yao..na hata angekua yeye bado ni biashara yake ya kumuongezea kipato nje ya TFF...sa ni vipi umpangie nini cha kufanya na hela..yahani kitega uchumi cha familia we unataka waanze kutoa msaada wa visima au wajenge viwanja vya mpira hili vijana wacheze tu...hivi are you serious kaka..
Nausipo nielewe na hapa basi tena kaka tukubaliane kutokukubaliana