Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliniambia anakuowa mchepuko uliyeingilia ndoa!Ebu niambie faida uliyo ipata kipindi mumeo amkuacha
Ana ujumbeKweli ulevi haufai popote pale duniani.
Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.
Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?
Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
View attachment 2624573
Kweli ulevi haufai popote pale duniani.
Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.
Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?
Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
View attachment 2624573
Ulifanya 'critical thinking's utabaini kuwa amaanishi watu wasiachane. Anachomaanisha pale, anayeamua kuachana/ kuacha mwenza., atengeneze mazingira mazuri ya watoto kuishi huku wakipata huduma muhimu. Na sio watoto kukosa huduma.Kweli ulevi haufai popote pale duniani.
Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.
Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?
Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
View attachment 2624573
Kuachana sio personal affair... kuachana ni cross- sectional affair.Rc anaingiliaje personal affairs zako? Kwa sheria ipi?
Tangu lini neno 'marufuku' ikawa ushauri?!Wewe umezoea story za sugu na mkewe mara Mbowe na mkewe wanaachana unaona kawaida huwezi kuwa na akili za kuona ndoa ni jambo la msingi
Watu wengi wangekuwa hawashauriwi kukaa pamoja na kuombana misamaha ndoa nyingi zisingekuwepo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanze na yeye kaolewa na anaishi na mume wake?Inasikitisha sana na sijui kama kabla ya kutoa hayo matamko huwa wanajiuliza kwanza mapokeo yake?
Yeye hana mandate kuingilia ndoa za watu.Ulifanya 'critical thinking's utabaini kuwa amaanishi watu wasiachane. Anachomaanisha pale, anayeamua kuachana/ kuacha mwenza., atengeneze mazingira mazuri ya watoto kuishi huku wakipata huduma muhimu. Na sio watoto kukosa huduma.
Hana mamlaka ya kuingilia maisha ya ndani ya wananchiKuachana sio personal affair... kuachana ni cross- sectional affair.
Watoto wanakosa huduma halafu wanakuwa panya road wewe unasema personal affair? Think critical na mantically kauli ile utaelewa.
Sawa mkuuHana mamlaka ya kuingilia maisha ya ndani ya wananchi
Kwani kasema tukiachana anatufunga jela?Rc anaingiliaje personal affairs zako? Kwa sheria ipi?