Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

Kaongea vizuri sana, wewe mleta mada una tatizo kubwa!
Mental health inakuhusu!
 
Ana ujumbe
 
Sasa mkuu unataka uishi bila kucheka?? Viongozi nao wanatakiwa wachekeshaji kama hawa.
 
Mkoa wa RUKWA huna hali mbaya sana wa watoto wa Mitaani (machokoraa)
Na vibinti kubeba Mimba ndio Balaa zaidi.
Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kwa hili.
 
Ulifanya 'critical thinking's utabaini kuwa amaanishi watu wasiachane. Anachomaanisha pale, anayeamua kuachana/ kuacha mwenza., atengeneze mazingira mazuri ya watoto kuishi huku wakipata huduma muhimu. Na sio watoto kukosa huduma.
 
Rc anaingiliaje personal affairs zako? Kwa sheria ipi?
Kuachana sio personal affair... kuachana ni cross- sectional affair.
Watoto wanakosa huduma halafu wanakuwa panya road wewe unasema personal affair? Think critical na mantically kauli ile utaelewa.
 
Tangu lini neno 'marufuku' ikawa ushauri?!
 
Ulifanya 'critical thinking's utabaini kuwa amaanishi watu wasiachane. Anachomaanisha pale, anayeamua kuachana/ kuacha mwenza., atengeneze mazingira mazuri ya watoto kuishi huku wakipata huduma muhimu. Na sio watoto kukosa huduma.
Yeye hana mandate kuingilia ndoa za watu.

Vinginevyo kama alikuwa anatoa ushauri basi angetumia lugha rafiki.
 
Kuachana sio personal affair... kuachana ni cross- sectional affair.
Watoto wanakosa huduma halafu wanakuwa panya road wewe unasema personal affair? Think critical na mantically kauli ile utaelewa.
Hana mamlaka ya kuingilia maisha ya ndani ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…