Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
wow look at this old technology
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alafu wewe limbukeni sana [emoji23][emoji23][emoji23] nyie komaeni kujenga materminal sijui ma nni hayo lakin ujue kuwa sisi tunakuja taratibu tuna projects nyingi za kufanya ishu ni priority tu
limbukeni ni babako, mamako pamoja na ww...alafu wewe limbukeni sana [emoji23][emoji23][emoji23] nyie komaeni kujenga materminal sijui ma nni hayo lakin ujue kuwa sisi tunakuja taratibu tuna projects nyingi za kufanya ishu ni priority tu
I agree with youTo honest wachina wamejenga majengo mazuri lakini sio reli yenye teknolojia ya kisasa. Tusikatae ukweli hata kama mchungu . Lakini Kenya wameleta changamoto kwa afrika mashariki . Pia ingekua vizuri kama afrika mashariki wangefanya integration ya railway network as same region ingeleta manufaa kwenye utalii , kilimo kwa sababu ingeleta fursa kwa nchi zote za afrika mashariki kuwa kama kitu kimoja. Vinginevyo east Africa community ni useless. Just my opinion
TAZARA will always remain magnificent, soon tutaongea Habari nyingine.TAZARA used to be the latest rail in East and Central Africa,soon our SGR will restore our glory.
Mtu mwenyewe hata hajasoma kichwa cha habari, mwache tu huyo.😀😀😀😀😀TAZARA uliibomoa lini mpaka ijengwe upya?
Punguza bangi
hio tu ndio umeona??😀😀😀 what abt the rest...i sense some wivu 😀😀😀Sasa hii Subway ya nchi ya watu na wewe umeifanga Kenya SGR? Noma sana.
tell them😀😀tutaonekana wajinga kama tutaendelea shindanan na mtu mwenye nacho tayari. sisi yetu ndio kwanza inataka jengwa vipi kama hayo matumaini yetu yakiwa tofauti na picha
To be honest wachina wamejenga majengo mazuri lakini sio reli yenye teknolojia ya kisasa. Tusikatae ukweli hata kama mchungu . Lakini Kenya wameleta changamoto kwa afrika mashariki . Pia ingekua vizuri kama afrika mashariki wangefanya integration ya railway network as same region ingeleta manufaa kwenye utalii , kilimo kwa sababu ingeleta fursa kwa nchi zote za afrika mashariki kuwa kama kitu kimoja. Vinginevyo east Africa community ni useless. Just my opinion
Hii si ni kama vituo vua BRT . Dar es salaam?
vilete picha hivyo tuvifananishe basi...lets see who will look like a stupid idiot...BRT sio?😀😀😀Hii si ni kama vituo vua BRT . Dar es salaam?
reli zote za mizigo duniani zinakaa hivi...uende america,australia,japan ,argentina ni hivo hivoShida ya Wakenya ni kuwa wao wanaona kila kitu kizuri kipo kwao, sasa hawajui kuwa Tazara ndio ilikuwa rail ya kisasa kuliko rail zote za Africa Mashariki na Kati, ndio sasa imeshuka baada ya Ethiopia na Kenya kujenga yao,
Issue ya Kenya tunawaambia, majengo yao yako vizuri sana, lakini hizo engine wamepigwa kama walivyopigwa kwenye ujenzi wa rail yenyewe,
Hizo engine tulishakiwa nazo Tanzania kama kaka REDEEMER. Alivyoziweka kwenye mwanzo wa uzi hapo juu
Hapo ni engine za Tazara zikishushwa Bandarini miaka ya 70
View attachment 603403
Hizo ni engine za Kenya za Standard Gauge, hebu angalia hiyo engine yenye pua alafu tofautisha na ya Tazara hapo chini
View attachment 603404
Hii ni ya Tazara, we huoni kuwa hao jamaa wamepigwa?, sasa wanachojisifia ni kipi?, wao ndio wanapata sa hizi kumbe sisi tunazo
View attachment 603405
View attachment 603409
nenda ulaya uone kama ziko hizo unazosema. zote ni electrified.reli zote za mizigo duniani zinakaa hivi...uende america,australia,japan ,argentina ni hivo hivo