Tazara kukabidhiwa wachina

Adante sana mkuje tu yule Tumbili anaupiga mwingi kumbe......tusonge sasa...tazara ni bonge asset basi tu tumelala Tz na Zm....acha waje injest hizo 1bil$ ifufuke tazara yetuuuu
 
ningeshauri mkataba watakaoingia nao wawalazimishe wabadilishe iwe ya umeme, SGR, ili waweze pia hata kuleta train za kule kwao ambazo ni za umeme waziendehse humo. bada.a ya kuendelea kutumia garimoshi.
Wanabadil inakuwa SGR
 
Kitu kizuri wanacho fanya ila hatujajua upande wa mkataba unasemaje.
 
Wanabadil inakuwa SGR
wakiweka SGR inakuwa rahisi hata wakileta gari moshi kama lile la kenya, siku yeyote wakiweka nyaya za umeme inabadilika na kuwa ya umeme. na Tazara imejengwa kwa ubora wa hali ya juu, tangu ianze haijawahi kuzuiliwa na mvua au kuchukuliwa na mafuriko kama ilivyo reli ya kati. wachina walijenga vyema sana.
 
Naona hapa Serikali imefanya jambo la maana. Ila wazee wa cha juu wasije ingia hapo RoI ikawa kubwa. Kwasababu wabongo kila kitu deal. Hii inaweza kufanya vyema kuliko hata hii SGR ya kati inayomeza matrilioni na wala haisogei.
 
Shida ni ni nini hapo, Lugha ya meli ni tatizo kwako au.
ndio, hakuna kiingereza kinachosema "Foreigner Investors", hicho sio kimombo, ni kindengereko. sema tu kwamba hujui kimombo na kwa lugha nyingine hujaenda shule vya kutosha ili tukuelekeza unatakiwa kusemaje.
 
Ukiwaachia wabongo project lazima ife. Maza akimaliza TAZARA atafute wawekezaji TANAPA, TANESCO, TAA, TFS, NHF hata TRA ikiwezekana na taasisi zingine zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…