Tazara kukabidhiwa wachina

Tazara kukabidhiwa wachina

Tungezubaa Lobito port and railway line ingetuondoa kwenye soko la mizigo la Zambia na DRC. Hata hivyo tumechelewa maana ile foleni ya malori pale Tunduma inajieleza yenyewe.
 
Unachotakiwa ni kujadili idea iliyopo na si makosa madogomadogo ya kiuandishi. Aya nimerekebisha.
mtu akiandika hapa anatoa picha ya akili yake, elimu yake na uwezo wake upo kiwango gani. kweli wewe unajifanya kukosoa watawala na ukitaka kuita mtu "mwekezaji toka nje" unamwita "foreigner investor"....kubali tu umeongea boko huna akili wala elimu kushauri chochote hapa. tulia sikiliza kwa wengine ili uelimike. kukubali udhaifu nayo ni akili pia.
 
umesahau waarabu wajomba zao waafrica, wale pia bila mzungu na mchina hawawezi hata kutengeneza kijiko tu. tujifariji kidogo hatupo peke yetu.
Una akili ndogo sana na uwezo wako wa kufikiri upo chini sana,

Waarabu wana rasilimali za Oil and Gas only na wamezitumia hizo rasilimali kua matajiri na kuendeleza miji yao japo nchi zao ni jangwa ila maji,umeme na huduma zote muhimu ni uhakika,

Jiangalie wewe sasa hapo,una kila aina ya natural resources,je zimekusaidia nini so far?

Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya,waarabu wapo mbali sana kimaisha,wewe bado unahangaika na Maji na Umeme.
 
Labda South Americans, Ila Waarabu wamewazidi Waafrika mbali sana...Linganisha nchi kama Qatar na Nigeria, au Quwait na Angola, ambazo zote ni tajiri wa mafuta
 
tuambie, bila technolojia na uwekezaji wa mzungu, huyo mwarabu mafuta angechimbaje, au kwasababu ni mabwana zako utawatetea liwe jua iwe mvua. kitu gani mwarabu alishawahi kuinvent zaidi ya mkojo wa ngamia na ugaidi.
 
Wewe akili huna ndio maana huwezi kuelewa nilichokiandika,mumeo ana kazi sana ya kukuelewesha kila siku,

Tumia na wewe watu wengine ili uwe kama Qatar,Dubai,Saudi Arabia...
 
mtu akiandika hapa anatoa picha ya akili yake, elimu yake na uwezo wake upo kiwango gani. kweli wewe unajifanya kukosoa watawala na ukitaka kuita mtu "mwekezaji toka nje" unamwita "foreigner investor"....kubali tu umeongea boko huna akili wala elimu kushauri chochote hapa. tulia sikiliza kwa wengine ili uelimike. kukubali udhaifu nayo ni akili pia.
Ni kweli mimi nimefanya kosa la kiundishi lakini wewe unavoongea tu ni dhahiri kabisa huna akili yoyote kichwani.
 
Labda South Americans, Ila Waarabu wamewazidi Waafrika mbali sana...Linganisha nchi kama Qatar na Nigeria, au Quwait na Angola, ambazo zote ni tajiri wa mafuta
wamewazidi kwenye kitu gani? weka mashine yeyote au invention yeyote ambayo mwarabu aliwahi kuvumbua hapa duniani. zaidi ya majambia ya kuchinjia ngamia na binadamu. just mention one. uwepo wao wa mafuta, wazungu wamepeleka technolojia wakawekeza wakapigwa kamisheni hadi wakasimama wenyewe sasaivi bado mzungu anawatawala kwenye mafuta, kwenye telecommunication, kwenye internet kwenye chochote, hawajawahi kuvumbua chochote. leo hi mzungu akizima net uarabuni, kila kitu kitavurugika, silaha zenyewe wanajua kutengeneza majambia tu, silaha zote zinatoka kwa wazungu.nchi pekee ya eneo hilo iliyojitahidi ni Iran na Turkiye, ambazo pia sio nchi za kiarabu. hao wana technolojia yao. ila mwarabu, bure kabisa.
 
Ni kweli mimi nimefanya kosa la kiundishi lakini wewe unavoongea tu ni dhahiri kabisa huna akili yoyote kichwani.
Upo sahihi kabisa mkuu,huyo mtu akili hana,comment zake nyingi hapa JF ni ujinga tu,uwezo wake wa kufikiri almost haupo kabisa,anatembea na kichwa ili kukamilisha kiwili wili tu.
 
hahaha, sasa umeandika nini hapa, mtu mwenye akili timamu akikusoma unafikiri anakuelewa wewe ni mtu wa aina gani? ongea hoja basi. unajiaibisha bure. wewe unakuja hapa mbele ya watu wenye akili, badala ya kusema "foreign investors" unasema "foreigner investors" afu unataka tuseme hujaongea boko, una akili kweli?
 
wamewazidi kwenye kitu gani? weka mashine yeyote au invention yeyote ambayo mwarabu aliwahi kuvumbua hapa duniani. zaidi ya majambia ya kuchinjia ngamia na binadamu. just mention one. uwepo wao wa mafuta, wazungu wamepeleka technolojia wakawekeza wakapigwa kamisheni hadi wakasimama wenyewe sasaivi bado mzungu anawatawala kwenye mafuta, kwenye telecommunication, kwenye internet kwenye chochote, hawajawahi kuvumbua chochote. leo hi mzungu akizima net uarabuni, kila kitu kitavurugika, silaha zenyewe wanajua kutengeneza majambia tu, silaha zote zinatoka kwa wazungu.nchi pekee ya eneo hilo iliyojitahidi ni Iran na Turkiye, ambazo pia sio nchi za kiarabu. hao wana technolojia yao. ila mwarabu, bure kabisa.
Tokea yule mwarabu wako akupige talaka umekua na chuki sana kwa waarabu wote,hii chuki haiwezi kukusaidia kitu.
 
uzuri ni kwamba, namwamini Mungu, ujinga unaoitwa upemba, uarabu au ufirauni wowote hauwezi kutajwa kwangu milele. shida ni kwenu, wewe hujui kimombo, huna shule na hutaki kueleweshwa. ujinga mbona mzigo sana? kumbe waalimu wanapata shida naman hii?
 
Back
Top Bottom