Tazara kukabidhiwa wachina

Tazara kukabidhiwa wachina

U
hahaha, sasa umeandika nini hapa, mtu mwenye akili timamu akikusoma unafikiri anakuelewa wewe ni mtu wa aina gani? ongea hoja basi. unajiaibisha bure. wewe unakuja hapa mbele ya watu wenye akili, badala ya kusema "foreign investors" unasema "foreigner investors" afu unataka tuseme hujaongea boko, una akili kweli?
Ndio maana nakwambia kua akili huna,na hapo umesha changanyikiwa tayari,wapi mimi nimeandika hiyo foreigner investors?
 
Kwenye comment yako #49 si umesema kua mimi ndio nimesema,halafu hapa unajikataa! Akili huna kubali hilo,empty set wewe,wasted sperm.
nadhani wewe uliingilia mabishano yangu na huyo mwingine, ndio ukapokea za uso. though akili zenu naona zipo sawa tu.
 
Vitu simple unafanya iwe stori kubwa, hiyo ni kazi ya watu wasiokua na akili.
huu mjadala we "foreigner investors" tulishamaliza, tumekubaliana wewe ni kilaza basi. tujadili mambo ya uwekezaji wa wachina ndugu.
 
Sina muda wa kukubaliana chochote na mtu mwenye empty set ya akili kichwani.
kati ya aliyeandika "foreign investors" na aliyeandika "foreigner investors" nani ni empty set ya akili kichwani? hukumu wewe mwenyewe.
 
ndio, hakuna kiingereza kinachosema "Foreigner Investors", hicho sio kimombo, ni kindengereko. sema tu kwamba hujui kimombo na kwa lugha nyingine hujaenda shule vya kutosha ili tukuelekeza unatakiwa kusemaje.
Huu ni umaskini wa fikra, lugha yetu ni kiswahili ambacho tunapaswa kuongea kwa ufasaha. Kiingereza, kifaransa n.k hata kama mtu akikosea kuongea au kuandika haimaanishi kuwa hajasoma. Yani huu ni uzwazwa kabisa, bila aibu unabeza lugha zetu asilia!!! Hicho kimombo unacho kishadidia ukienda ulaya kila nchi wanaongea lugha yao, hawana muda na hicho kimombo. Tubadilike, tupende lugha yetu. Hata hivyo uwezo wa akili za mtu hautegemei ujuzi wa kiingereza. Unaweza kuwa unajua kuongea kiingereza vizuri kabisa lakini kichwani akili hakuna.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
hoja kuu ilikuwa kama mtu anayeshindwa hata kueleza kwa kimombo alichosomea shule kwamba "mwekezaji wa nje", atakuwa na nini kichwani cha kumshauri Rais. hoja ipo hapo. lugha ya kiingereza sio ya kwetu, hivyo ukiona hauiwezi kubali kwamba siiwezi kwasababu sio ya kwetu ni ya kuja, ila haimaanishi kwamba na wenzako wapo kama wewe, usijiweke kwenye fungu moja as if watanzania wote tupo sawa kwenye eneo hilo. beba zigo lako na penye udhaifu ukubali ili ueleweshwe.
 
Back
Top Bottom