The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio maana nakwambia kua akili huna,na hapo umesha changanyikiwa tayari,wapi mimi nimeandika hiyo foreigner investors?hahaha, sasa umeandika nini hapa, mtu mwenye akili timamu akikusoma unafikiri anakuelewa wewe ni mtu wa aina gani? ongea hoja basi. unajiaibisha bure. wewe unakuja hapa mbele ya watu wenye akili, badala ya kusema "foreign investors" unasema "foreigner investors" afu unataka tuseme hujaongea boko, una akili kweli?
Wewe akili huna. Bora kuwa kilaza nitafundishika.sio kwamba umefanya kosa, wewe ni kilaza. mjadala umefungwa.
wewe ndio uliandika hiyo "foreigner investors", huyo The Icebreaker naona anarukia tu mjadala.Wewe akili huna. Bora kuwa kilaza nitafundishika.
Kwenye comment yako #49 si umesema kua mimi ndio nimesema,halafu hapa unajikataa! Akili huna kubali hilo,empty set wewe,wasted sperm.wewe ndio uliandika hiyo "foreigner investors", huyo The Icebreaker naona anarukia tu mjadala.
Vitu simple unafanya iwe stori kubwa, hiyo ni kazi ya watu wasiokua na akili.wewe ndio uliandika hiyo "foreigner investors", huyo The Icebreaker naona anarukia tu mjadala.
nadhani wewe uliingilia mabishano yangu na huyo mwingine, ndio ukapokea za uso. though akili zenu naona zipo sawa tu.Kwenye comment yako #49 si umesema kua mimi ndio nimesema,halafu hapa unajikataa! Akili huna kubali hilo,empty set wewe,wasted sperm.
huu mjadala we "foreigner investors" tulishamaliza, tumekubaliana wewe ni kilaza basi. tujadili mambo ya uwekezaji wa wachina ndugu.Vitu simple unafanya iwe stori kubwa, hiyo ni kazi ya watu wasiokua na akili.
Sina muda wa kukubaliana chochote na mtu mwenye empty set ya akili kichwani.huu mjadala we "foreigner investors" tulishamaliza, tumekubaliana wewe ni kilaza basi. tujadili mambo ya uwekezaji wa wachina ndugu.
kati ya aliyeandika "foreign investors" na aliyeandika "foreigner investors" nani ni empty set ya akili kichwani? hukumu wewe mwenyewe.Sina muda wa kukubaliana chochote na mtu mwenye empty set ya akili kichwani.
Kuongea na wewwe ni matumizi mabaya ya akili na muda.kati ya aliyeandika "foreign investors" na aliyeandika "foreigner investors" nani ni empty set ya akili kichwani? hukumu wewe mwenyewe.
ndio maana nimekuita kilaza. unashindwaje kujibu swali dogo kama hilo.Kuongea na wewwe ni matumizi mabaya ya akili na muda.
Huu ni umaskini wa fikra, lugha yetu ni kiswahili ambacho tunapaswa kuongea kwa ufasaha. Kiingereza, kifaransa n.k hata kama mtu akikosea kuongea au kuandika haimaanishi kuwa hajasoma. Yani huu ni uzwazwa kabisa, bila aibu unabeza lugha zetu asilia!!! Hicho kimombo unacho kishadidia ukienda ulaya kila nchi wanaongea lugha yao, hawana muda na hicho kimombo. Tubadilike, tupende lugha yetu. Hata hivyo uwezo wa akili za mtu hautegemei ujuzi wa kiingereza. Unaweza kuwa unajua kuongea kiingereza vizuri kabisa lakini kichwani akili hakuna.ndio, hakuna kiingereza kinachosema "Foreigner Investors", hicho sio kimombo, ni kindengereko. sema tu kwamba hujui kimombo na kwa lugha nyingine hujaenda shule vya kutosha ili tukuelekeza unatakiwa kusemaje.
We nani alikuzuia kusoma? Kenge kweliWaafrika tunachoweza ni roho mbaya, ulevi na ngono basi. Hata hawa wanaojiita wasomi hawana faida yoyote
Jiulize weweNi kitu gani sisi tunaweza ?
We bwege ndio mdoli, huu mtandao inaoutumia umetengezwa na mtanzania. We ndio mdoli huna unachoweza kufanyaSisi kushindwa kufanya kila kitu ni dhahiri hii nchi ina midoli na si watu. Kila kitu foreign investors.
Umeolewa au bado ?Jiulize wewe
Hapa hatujadili personal archivement bali kazi za kitaifa.Ni Kipi tumeweza kukifanya kama taifa kikafanikiwa na kutuletea tija.We bwege ndio mdoli, huu mtandao inaoutumia umetengezwa na mtanzania. We ndio mdoli huna unachoweza kufanya
hoja kuu ilikuwa kama mtu anayeshindwa hata kueleza kwa kimombo alichosomea shule kwamba "mwekezaji wa nje", atakuwa na nini kichwani cha kumshauri Rais. hoja ipo hapo. lugha ya kiingereza sio ya kwetu, hivyo ukiona hauiwezi kubali kwamba siiwezi kwasababu sio ya kwetu ni ya kuja, ila haimaanishi kwamba na wenzako wapo kama wewe, usijiweke kwenye fungu moja as if watanzania wote tupo sawa kwenye eneo hilo. beba zigo lako na penye udhaifu ukubali ili ueleweshwe.Huu ni umaskini wa fikra, lugha yetu ni kiswahili ambacho tunapaswa kuongea kwa ufasaha. Kiingereza, kifaransa n.k hata kama mtu akikosea kuongea au kuandika haimaanishi kuwa hajasoma. Yani huu ni uzwazwa kabisa, bila aibu unabeza lugha zetu asilia!!! Hicho kimombo unacho kishadidia ukienda ulaya kila nchi wanaongea lugha yao, hawana muda na hicho kimombo. Tubadilike, tupende lugha yetu. Hata hivyo uwezo wa akili za mtu hautegemei ujuzi wa kiingereza. Unaweza kuwa unajua kuongea kiingereza vizuri kabisa lakini kichwani akili hakuna.
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
EEeKwani tazara siyo sgr!?