Tazara kukabidhiwa wachina

Tuta la reli lilizolewa mwakanga.Wewe unasema nini.
 
Nadhani wewe uliingilia mabishano yangu na huyo mwingine, ndio ukapokea za uso. though akili zenu naona zipo sawa tu.
"Nadhani" ni neno linalotumika na mtu asiye na uhakika na akisemacho,ndio maana nakwambia akili huna,wewe punguani ndio unipe mimi za uso? Utanijua tu na utanyooka.
 
Asante kwa kuweka na ramani kabisa.

Baada ya kuitazama hiyo ramani nikatamani hiyo reli ingewekewa mchepuko hapo Tunduma, na kuambaa mwishoni mwa ziwa kuelkea DRC pale. Hiyo ingekuwa ni njia ya ziada ya zilizopo sasa ya kuifikia Congo, eneo lilolo na utajiri mkubwa.
 
Tuta la reli lilizolewa mwakanga.Wewe unasema nini.
wapi na lini tuta la reli ya TAZARA liliwahi kuzolewa? na hata likizolewa, haliwezi kuwa kila mahali kama ilivyo reli ya kati. kila mwaka inakatika au mabehewa kuhamanjia au mafuriko kilosa na tabora huko yanaharibu.
 
Naona ni makubaliano ya deni tulilonalo pamoja na hao Wazambia ngoja tuvute subra tutajua mengine yanayokuja...
 
Ni kitu gani sisi tunaweza ?
Tunachoweza ni sex.
Sex tunafanya kwa ufundi sana mkuu.

Taifa hili limetumia Fedha nyingi kusomesha watu wake, lakini hao wanaoitwa wasomi ni bure kabisa.

Miaka 50 tumeshindwa kuiendesha reli ya kisasa kama TAZARA.
Akili yetu ipo kwenye wizi tu. Kila kitu cha TAZARA tunataka kuiba.
Nyumba za wafanyakazi tumeuza, karakana zinabinafsishwa.
Maeneo mengi ya TAZARA wanagawana ili wajenge bandari kavu.
Inakera sana.
 
Kina masanja bado wanakunywa wanzuki hawajui way forward ya SGR.
CLUELESS AND INCOMPETENT/CORRUP LEADERSHIP.
 
Nasikia hata shule za Tanzania pia kupewa wachina .
Wangeanza na shule ya UPENDO iliyoko Mbezi mwisho Dar es Salaam ili wajukuu wsjifunze kukalia madawati.
Juzi tulipeleka ujumbe mkubwa Sana Dubai kwa hela za mlipakodi wakati Dar es Salaam Kuna watoto wanakaa chini kwa ukosefu wa madawati.
Which part of our brain do we use????
 
Na wenyeji wataambulia patupu?
Watafaidika sana Wachina, lengo lao kubwa ni kusafirisha Madini toka Congo na Zambia, Abiria ni ziada tu...!

China wana Viwanda vingi sana vinavyotengeneza Profuct tofauti, na Wanategemea sana Madini toka Congo.
 
Safi Bora waFufue na logistic centre maana zamani zili operate Sana za kapriposhi ,Kasama ,makambako na dsm maana miundombinu kama Crain zilishaanza kuchoka kutokana na kuto tumika mizigo mingi Yana be a maroli
 
KuMbuka hii ni reli ambayo imeibua miji ya ifakara,makambako ,kidatu ,Kasama nk inafaida kubwa mno wanajua wale iliko pita
Watafaidika sana Wachina, lengo lao kubwa ni kusafirisha Madini toka Congo na Zambia, Abiria ni ziada tu...!

China wana Viwanda vingi sana vinavyotengeneza Profuct tofauti, na Wanategemea sana Madini toka Congo.
 
da!!! afazali,,,manake ata sasa ivi ukifika pale buguruni utakuta wafanyakzi wa TAZARA wakigonga double kick kama kawaida!!,,,,ajira zinatolewa kwa watoto wa wafanyazi waliostaafu,,,,,,,noma sana!!
 
da!!! afazali,,,manake ata sasa ivi ukifika pale buguruni utakuta wafanyakzi wa TAZARA wakigonga double kick kama kawaida!!,,,,ajira zinatolewa kwa watoto wa wafanyazi waliostaafu,,,,,,,noma sana!!
hiyo ni human nature, wewe ungekuwa unafanya kazi TAZARA, usingemuunganishia mtoto wako kama kuna nafasi nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ