Nimetoa mfano wa wegner ambae idea yake baada ya karne 1 ilithibitika ni kweli.Mungu yupo na hayupo at the same time?
What are you smoking?
Refer idea ya Schrodinger's catMungu yupo na hayupo at the same time?
What are you smoking?
Kwa hiyo T B Joshua ni mwizi msalabani,Acha kurahisisha mambo,YESU mwenyewe katika Mathayo 28 kuanzia 19 anawaamuru watu wakabatizwe.View attachment 1813227
Ubatizo wa maji ni udhihirisho wa nje kwamba umempokea Kristo!
Wapo waliompokea Kristo pasipo udhihirisho huo wa nje na kuokolewa!
Ref: Mwizi msalabani aliye mkiri Kristo na kuokolewa pasipo ubatizo wa maji.
Vita ya kugombea waumini inahusika hapa. Temitope Joshua alikuwa anawaburuza kwa wafuasi wengi hence sadaka ya kutosha. Kwa kifo chake wapo viongozi wa makanisa watakao'nnya' mafungu mafungu kwa furaha. Dunia simamaaaaa nishuke.Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu alipokufa.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa *TB kama Mkristo mwenzao...
unaposha mkuu soma matendo ya mitume 2:38(petro akawambia, tubuni kila mmoja mkabatizwe kwa jina la yesu kristo mpate ondoleo la dhambi nanyi mtapokea kipawa cha roho mtakatifu.) soma pia yoh 3:3-5
πππUkipata muda naomba umchunguze na baba askofu gwajima Kama amempokea yesu na kubatizwa ili nijue sadaka yangu jumapil naipeleka kwake au nitombeee tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Schrodinger's Cat scenario inaweza kupimwa kwa experiment.Refer idea ya Schrodinger's cat
Nadhani utakua hujaelewa ninacho maanisha.. Sijamaanisha uichukulie idea ya Schrodinger's cat literally.Schrodinger's Cat scenario inaweza kupimwa kwa experiment.
Mungu amepimwa wapi kwa experiment?
Unaongelea idea ya Mungu au kuwapo kwa Mungu halisi?Nadhani utakua hujaelewa ninacho maanisha.. Sijamaanisha uichukulie idea ya Schrodinger's cat literally.
Namaanisha idea inakua ipo na haipo paka pale itakapo thibitishwa ipo au haipo. Bila idea kuthibitishwa anaesema ipo anasimama sehemu moja na anaesema haipo. Kwa hiyo wewe unaposema Mungu hayupo huna tofauti na anaesema Mungu yupo (wote mnaamini bila uthibitisho).
Duh!Kifalsafa hii hoja ni " A Priori fallacy".
Umeanza na jibu la uongo. Halafu mzigo wa kuthibitisha unawapa wengine...
Umekuja na hoja zako mfu na za kitoto hata mwanangu wa KG1 hawezi uliza kwani ni aibu.Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Zimekusumbua kiasi umejaribu kuzipinga bila kuonesha makosa yake.Umekuja na hoja zako mfu na za kitoto hata mwanangu wa KG1 hawezi uliza kwani ni aibu.
Kama mwanafunzi wa Biblia naamini TB Joshua hayuko alipo Bwana Yesu kwa mwenendo wake kutomfuta Kristo kama mitume waliotuachia kielelezo !Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu alipokufa.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa *TB kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.
TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.
Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.
Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Mungu halisi anatokana na imani sababu paka sasa idea ya Mungu haina uthibitisho.Unaongelea idea ya Mungu au kuwapo kwa Mungu halisi?
Kusema mimi ni muumini ni sawa na kusema mtu aliyenyoa kipara kasuka nywele mtindo wa kipara.Mungu halisi anatokana na imani sababu paka sasa idea ya Mungu haina uthibitisho.
Mimi sina shida na anaeamini kutokuwepo kwa Mungu, ila nakukumbusha kwamba na wewe ni muumini unaeamini bila kua na uthibitisho[emoji1][emoji1]. Fikiri hili kabla hujawakosoa upande wa pili.
Sasa siku ikija kuthibitika yupo utasemaje asee?, Maana ikithibitika hayupo wanaoamini hawatadhulika chochote.
Kwani Mkuu wewe unawaamini hawa wanaojiita manabii!??
Mtu akisema ndani Kuna kikombe na mwingine akasema ndani Hakuna kikombe, Nani kati ya hao wawili anapaswa kuthibitisha uwepo wa kikombe ndani?Nimetoa mfano wa wegner ambae idea yake baada ya karne 1 ilithibitika ni kweli.
Mungu ni idea ambayo kwa sasa haina uthibitisho, hivyo kusema yupo au hayupo zote ni imani. Wewe unaposema Mungu hayupo hiyo ni imani yako, imani ambayo huwezi kuithibitisha kama hao unaosema wanadanganywa.