TB Joshua “Ntaomba nikiwa milimani sitakula hadi adui yetu Corona aondoke”

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
1588157817419.png

Duk9kpTURBXy85MWI5MGY5NTk0MmRjZTViYjRmNjFjMDg5NGVkNmUwYi5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB.jpg

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”

Hapo mwenyewe ndo anajiona kama Jesus fulani hivi!

Halafu Braza Joshua acha habari zako bhana!!

Umeenda hadi na pillow kabisa na kigodoro juu halafu utuambie hujaenda angalau na mikate wewe?!

Sasa hizo picha ndo tuseme zimepigwa na Malaika wa Bwana, au?!

Unapanda darini kujinyonga kwa kamba huku mfukoni umeficha kisu?!

Halafu coronavirus isivyo na adabu, usikute hapo inampigia jalamba tu!!
 
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
View attachment 1434414
Duk9kpTURBXy85MWI5MGY5NTk0MmRjZTViYjRmNjFjMDg5NGVkNmUwYi5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB.jpg

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”
Kuchua camera man na watu wa kumtandikia mkeka juu ya mawe hapo ameigiza yale maigizo yao ya kinigeria tu ya kichawi
 
Yaani hatakula chochote miezi sita? Mwambieni Mungu hajaribiwi kwa style hiyo. Amuulize Yesu alivofunga jangwani kwa siku40 kilichomkuta.
 
Kuchua camera man na watu wa kumtandikia mkeka juu ya mawe hapo ameigiza yale maigizo yao ya kinigeria tu ya kichawi
hiyo ni photoshoot tu. Alipomaliza kigodoro kimekunjwa kaingia kwenye ndiga, saa hizi yupo kwenye Jacuzzi anakunywa mvinyo.
 
Hapo mwenyewe ndo anajiona kama Jesus fulani hivi!

Halafu Braza Joshua acha habari zako bhana!!

Umeenda hadi na pillow kabisa na kigodoro juu halafu utuambie hujaenda angalau na mikate wewe?!

Sasa hizo picha ndo tuseme zimepigwa na Malaika wa Bwana, au?!

Unapanda darini kujinyonga kwa kamba huku mfukoni umeficha kisu?!

Halafu coronavirus isivyo na adabu, hapo inampigia jalamba tu
Jaman 2cpende kukosoa uamuzi wa wa2 wa mungu
 
Back
Top Bottom