TB Joshua “Ntaomba nikiwa milimani sitakula hadi adui yetu Corona aondoke”

TB Joshua “Ntaomba nikiwa milimani sitakula hadi adui yetu Corona aondoke”

Jamani muacheni, kama yeye anaamini hiyo wewe unaumia nini?

Wakati Jesus yupo hai kuna watu pia walimbeza vile vile kwamba si ulikuwa unaokoa wengine haya jiokoe sasa na wewe tuone.

Dini ni kuamini kitu ambacho hakionekani - Mwacheni, maneno ya kejeli kwake si mazuri hata kidogo....
Mathayo 6 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁷ Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
¹⁸ ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuone, ila asije akamuua kwa njaa mpiga picha maana yy kazi yake anaifanya ipasavyo
 
Mungu na ambariki na kupitia yeye afanye kitu kwa hii Dunia, najua tuna nafas kila mtu tofaut ya namna ya kuwasiliana na Mungu, asikilize saut ya Mungu itakayoiponya nchi, nasi kupitoa saut hiyo tutapona...AMINA
 
Back
Top Bottom