TB Joshua “Ntaomba nikiwa milimani sitakula hadi adui yetu Corona aondoke”

Corona bado ipo sana tu, asije akafa njaa huko mlimani.
 
CORONA kiboko ya waongo . Wahubiri matapeli woote sasa wanaaibika mchana kweupe kabisa
 
Mungu atubariki kwa kweli. Kama ni kwa kupitia yeye TB au kwa sala zetu wote ila hili janga na liishe jamani.

Kinachofuata hapo muheshimiwa atashuka milimani very soon atasema kaambiwa na Mungu sala zimesikika aanze kula dawa iko njiani. Na mkimuuliza atasema kaoteshwa dawa iko njiani.

Kwa sasa wakuu muhimu ni kuchukua tahadhari zote tu
 
Jamani muacheni, kama yeye anaamini hiyo wewe unaumia nini?

Wakati Jesus yupo hai kuna watu pia walimbeza vile vile kwamba si ulikuwa unaokoa wengine haya jiokoe sasa na wewe tuone.

Dini ni kuamini kitu ambacho hakionekani - Mwacheni, maneno ya kejeli kwake si mazuri hata kidogo....
 
Jaman 2cpende kukosoa uamuzi wa wa2 wa mungu
huwezi kujua majibu ya hii kitu yatapitia wapi? yawezekana kwa wanasayansi ama kwa imani ....

Mussa aliwaokoa wana wa Islael kwa Imani ...Sasa kubeza si kuzuri - kama unaamini COVID -19 inaweza kuisha kwa kuvaa Barakoa, Kuosha mikono na kujifungia ndani - well and good my Friend.

Wakati wa vita kila mmoja kwa karma yake, mwanasayansi haya, na mtu wa maombi haya - whatever is going to work fine...tunaopona ni sisi wanadamu wote.
 
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
View attachment 1434414
Duk9kpTURBXy85MWI5MGY5NTk0MmRjZTViYjRmNjFjMDg5NGVkNmUwYi5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB.jpg

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”
Hizi imani zingine lakini kha!
Haya tutasubiri tu mtumishi
 
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
View attachment 1434414
Duk9kpTURBXy85MWI5MGY5NTk0MmRjZTViYjRmNjFjMDg5NGVkNmUwYi5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB.jpg

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”
Hapo kwenye kula ndio nnapopasubiria. Count down inaanza lini mleta uzi?

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
View attachment 1434414
Duk9kpTURBXy85MWI5MGY5NTk0MmRjZTViYjRmNjFjMDg5NGVkNmUwYi5wbmeRkwXNAxTNAbyBoTAB.jpg

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”
Kama nawaona wajuba wa Ghana
 
Back
Top Bottom