NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ha ha ha haa korona itafichua manabii wa uongo wote ambao mpaka leo hawatibu cancer wala HIV wala kwenda hospitali kutibu wagonjwa wa kweli. Atakufa na njaa huyo kama ni kweli hakuna hata mtu mmoja anaye mpelekea chakula.Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
View attachment 1434414
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”
Ule nsaji ghete u bebeHahaha kumbe ole o gukaya nyanoko bhebhe
As far as I know hizi picha ni kutoka maktaba, ni za wakati ule ndio anapokea WITO. Kuhakikisha hilo, angalia size ya mwili wake na sasa hvi, utagundua hapa alikua mwembamba sana wakati sasa hivi ni mnene kiasi fulani.Ameenda kuomba huko mlimani akiwa na mpiga picha pamoja na kuzipost twitter. Mpaka hii CORONA kuisha tutaona na kusikia mengi.
Amebeba na chaja?Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.
View attachment 1434414
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”
Ukweli ni kwamba huyu amejitenga anajirinda na hatari ya koronahuwezi kujua majibu ya hii kitu yatapitia wapi? yawezekana kwa wanasayansi ama kwa imani ....
Mussa aliwaokoa wana wa Islael kwa Imani ...Sasa kubeza si kuzuri - kama unaamini COVID -19 inaweza kuisha kwa kuvaa Barakoa, Kuosha mikono na kujifungia ndani - well and good my Friend.
Wakati wa vita kila mmoja kwa karma yake, mwanasayansi haya, na mtu wa maombi haya - whatever is going to work fine...tunaopona ni sisi wanadamu wote.
Mungu hadhihakiwi
Mcheza picha za ngono uyu
Jose bhana... Watu wa Mungu ni wewe mwenyewe na Bible yako ikitanguliwa na matendo yako!Jaman 2cpende kukosoa uamuzi wa wa2 wa mungu
Tapeli wa kiroho na kimwili aliyebobea..😬😡😠Ameenda kuomba huko mlimani akiwa na mpiga picha pamoja na kuzipost twitter. Mpaka hii CORONA kuisha tutaona na kusikia mengi.