Sasa kama hadi kamera kabeba atakosa kubeba smatifoni kweli?
Mathayo 6 (Biblia Takatifu)Jamani muacheni, kama yeye anaamini hiyo wewe unaumia nini?
Wakati Jesus yupo hai kuna watu pia walimbeza vile vile kwamba si ulikuwa unaokoa wengine haya jiokoe sasa na wewe tuone.
Dini ni kuamini kitu ambacho hakionekani - Mwacheni, maneno ya kejeli kwake si mazuri hata kidogo....
Baada ya wiki 2 utasikia nilisema nitakula mara moja kwa siku.Ameenda kuomba huko mlimani akiwa na mpiga picha pamoja na kuzipost twitter. Mpaka hii CORONA kuisha tutaona na kusikia mengi.