Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

Bado kuna watu wanaangalia hii TV ya chama?
IMG_20201022_161234.jpg
 
Kila mtu pale TBC anawaza ureuzi tu. Wapumbavu kabisa
Kawaida ya madikteta duniani kote na kujigeuza centre of the universe,kila mkereketwa na waimba mapambio wanategemea au kusubiri uteuzi wa Mzee Baba kila mara atumbuliwapo moja wao.Hii ni aibu kwa watu waelewa wakijitoa ufahamu kwa ajili ya njaa zao bila kujali maslahi ya nchi na watu wake.
Kupona kwetu Watanzania ni kuuangusha utawala huu kwa kumpa kura za kimbunga Mh.Lissu na Maalim Seif,tunalinda kura hadi mshindi halali atangazwe kila kituo cha kupigia kura.Hatudanganyiki na nyimbo za kina Polepole,Bashiru,Diamond,Zuchu nk.
 
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.

Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.

Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
Na wewe umezidi umbea mwanangu, kilichokifanya ukachungulie huko ni nini?

Wakati mwiko wenu ninyi wapinzani ni kufungulia TBC?

Ilikuwaje Leo Hadi ukavumilia huo upumbavu ambao huwa mnauita?

Na mkome kuchungulia msivyovipenda!!
 
Mbona ya vyama vingine tofauti na waliowafukuza hawatangazi.? Chauma, CUf, UDP, ACT hawafanyi mikutano? Don't be lunatic with little analysis capacity binti.
chauma mkutano wa manzese ulioneshwa live
 
TBC asilani hawawezi kuonyesha Ukweli kama WEYANI TV
 
Nigeria Broadcasting Cooperation wananchi wamekiwasha moto kwa UPUMBAVU kama wa TBC. Kituo cha utangazaji ambacho ni mali ya umma kimekuwa 'choo' cha CCM ambacho wanaweza kuingia na kutoka kadri wapendavyo.
WaNigeria wamefanya poa sana
 
Fistula imehamia kichwani?
tukutane ijumaa ijayo wakati tukiwa tunapokea matakeo kutoka kila kona ya Tanzania huku tunakula bia bariidi tukimfundisha lisu siasa Haha ha ha ha lisu will learn the hard way
 
Lakini tuwaonee huruma tu hao TBC na wengineo........tujiulize tu wanaweza kufanya tofouti na bado wakabakia na "mikate" yao na familia zao? Inahitaji kujitolea pakubwa sana kuwa objective katika regime hii.

The best you can do ni kuacha kutizama TBC na pia kutumia turufu yako Sept 28 kuwaadhibu.....shawishi na wengine.
 
tukutane ijumaa ijayo wakati tukiwa tunapokea matakeo kutoka kila kona ya Tanzania huku tunakula bia bariidi tukimfundisha lisu siasa Haha ha ha ha lisu will learn the hard way
Mkiiba kura mtakiona cha mtema kundi

Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.

Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.

Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
Unaongelea Watanzania wepi? JPM ndiye rais wewe ulitakaje? Mbona nyie mmejipambanua na Mabebebru?
 
Back
Top Bottom