kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?
Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?