TBC kudhamini ligi ya NBC hatupati value for money

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.

Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?
 
Sikia nikwambie, hawa azam tv hakunaga matangazo wakati mechi inaendelea? yapo lakn hutolewa kwa njia ya maandishi,je unataka TBC nao watoe matangazo kwa njia ya maandsh ili hali ni kwa njia ya redio? TBC hutoa matangazo wakati mechi ikiendelea wakati either, mchezaji ameumia,mpira umetoka au hakuna mashambulizi yeyote kwa timu zote mbili.
 
Yaani upo hapo unatetea kabisa huo upuuzi? Eti wanaweka tangazo mpira ukitoka. Hilo tangazo ni la sekunde 5 au?
 
Mkuu, TBC ana bills za kulipa,
Unataka hizo bills alipe vipi? Matangazo ya dakika 1-5 kati ya dakika 90+ za match sio mbaya,

Au unadhani TBC ata recoup vipi hizo pesa za udhamin?
Unataka matangazo before match wakati watu wengi hawasikilizi radio muda huo?

Ukiona hutaki matangazo feel free kwenda uwanjani ukaangalie mwenyewe
 
ndugu, nimesema mpira ukitoka,mchezaji ameumia au hakuna shambulizi lolote kati ya timu hzo mbili, mimi sifungamani na upande wowote ima wa TBC au wanao iponda TBC, mimi nipo hapa kujibu hoja iliyo letwa na mdau!
 
Watanzania tunapenda kukosoa kila kitu!
 
Utangazaji wa matukio kama mpira una taratibu zake, usipoufuata kitakachofuata ni kukosa weledi wa utangazaji wa mpira.

Unajua hata kwenye TV kuna taratibu katika kuchanganya picha, hawawezi kuonyesha matukio yasiyohusiana na kinachotokea kwenye pitch, mfano kuonyesha mashabiki, wakati mpira unaendelea, sembuse unakata kabisa matangazo kwa ajili ya matangazo ya biashara.
Kwanini kwenye TV pia wasifanye hivyo unavyotetea kama ishu ni kulipa bill?
 
kichwa ngumu wewe mkuu! hivi kabla ya mechi haijaanza unataka liwekwe tangazo la mpira ambalo halihusiani na kipindi husika?
 
Wewe ndiyo haujui taratibu. Kila kipindi kina taratibu zake. Hauwezi kukatisha matangazo ya mpira kwa matangazo ya biashara kisa mpira umetoka maana hakuna tangazo la sekunde 5. Yaani eti kisa timu hazishambuliani zinacheza mpira eneo la kati, wewe paaah unaweka tangazo la colgate, aisee. Na si ajabu uko humohumo TBC.

Vipindi vinawekwa kwenye ratiba. Ukisema saa 10:30 matangazo yanaanza, hata uchambuzi na matangazo ni sehemu ya hiyo program hata kama mechi yenyewe inaanza saa 11:00.
 
Wewe ndiyo haujui taratibu. Kila kipindi kina taratibu zake. Hauwezi kukatisha matangazo ya mpira kwa matangazo ya biashara kisa mpira umetoka maana hakuna tangazo la sekunde 5. Yaani eti kisa timu hazishambuliani zinacheza mpira eneo la kati, wewe paaah unaweka tangazo la colgate, aisee. Na si ajabu uko humohumo TBC.
Hakuna kitu kama hiko mzee, tangazo huwa linasomwa na mtangazaji inaonesha husikilizi mpira ila kuuchonga tu mdomo
 
Ni kweli ni miaka mingi sijakaa kusikiliza mpira kwenye redio na nashangaa kuna watu bado wanafanya hivyo. Nilivyomuelewa mleta mada anasema matangazo ya mpira yanakatwa kwa ajili ya matangazo ya biashara wakati mpira unaendelea.
 
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.

Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?
TBC, Hatuwataki, wakitangaza mpira wanaongea ya kwao tena ya kitoto, kwakifupi hawana uwezo wa kutangaza mpira wanachoweza labda mipasho

They are taking things for granted, similarly taking the audience for granted in reality though the audience want to listen to what is going on the pitch not otherwise
 
Sikia nikwambie, hawa azam tv hakunaga matangazo wakati mechi inaendelea? yapo lakn hutolewa kwa njia ya maandishi,je unataka TBC nao watoe matangazo kwa njia ya maandsh ili hali ni kwa njia ya redio? TBC hutoa matangazo wakati mechi ikiendelea wakati either, mchezaji ameumia,mpira umetoka au hakuna mashambulizi yeyote kwa timu zote mbili.
Kweli, ila huko sio kutangaza mpira..sometimes wanajisahau kabisa ile radha inakuwa haipo..
 
TBC ndiyo shirika linalohitaji PPP, (private partnership), with Tanzanians not foreigners.

Generally, Tanzania need private partnership which does not involve foreigners since involving foreigners will undermine National economy
 
Kule YouTube kuna redio nyingi hutangaza Mpira, Kumbuka TBC hawalazimishi mtu kuwasikiliza
 
Wewe ndiyo haujui taratibu. Kila kipindi kina taratibu zake. Hauwezi kukatisha matangazo ya mpira kwa matangazo ya biashara kisa mpira umetoka maana hakuna tangazo la sekunde 5. Yaani eti kisa timu hazishambuliani zinacheza mpira eneo la kati, wewe paaah unaweka tangazo la colgate, aisee. Na si ajabu uko humohumo TBC.

Vipindi vinawekwa kwenye ratiba. Ukisema saa 10:30 matangazo y
Mkuu mala ya mwisho kusikiliza mpira kwa njia ya redio ni mwaka gani, maana naweza kuwa nabishana na mtu hata redio hasikilizi, matangazo ya mpira hukatwa mwanzoni mwa kipindi cha kwanza na mwanzoni mwa kipindi cha pili pekee, kinachofuata,mtangazaji huangalia hali ya mchezo, mpira umetoka,mchezo umesimama au hakuna mashambulizi ndipo husoma tangazo (kumbuka hapo hajakata matangazo ya mpira) na ikitokea timu inashambulia alafu anasoma tangazo basi huacha mala moja kusoma ili kusimulia kinachojiri uwanjani. umeelewa sasa?
 
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.

Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?
TBC ni janga.
 
Back
Top Bottom