Yaani upo hapo unatetea kabisa huo upuuzi? Eti wanaweka tangazo mpira ukitoka. Hilo tangazo ni la sekunde 5 au?Sikia nikwambie, hawa azam tv hakunaga matangazo wakati mechi inaendelea? yapo lakn hutolewa kwa njia ya maandishi,je unataka TBC nao watoe matangazo kwa njia ya maandsh ili hali ni kwa njia ya redio? TBC hutoa matangazo wakati mechi ikiendelea wakati either, mchezaji ameumia,mpira umetoka au hakuna mashambulizi yeyote kwa timu zote mbili.
Mkuu, TBC ana bills za kulipa,Yaani upo hapo unatetea kabisa huo upuuzi? Eti wanaweka tangazo mpira ukitoka. Hilo tangazo ni la sekunde 5 au?
ndugu, nimesema mpira ukitoka,mchezaji ameumia au hakuna shambulizi lolote kati ya timu hzo mbili, mimi sifungamani na upande wowote ima wa TBC au wanao iponda TBC, mimi nipo hapa kujibu hoja iliyo letwa na mdau!Yaani upo hapo unatetea kabisa huo upuuzi? Eti wanaweka tangazo mpira ukitoka. Hilo tangazo ni la sekunde 5 au?
Watanzania tunapenda kukosoa kila kitu!Mkuu, TBC ana bills za kulipa,
Unataka hizo bills alipe vipi? Matangazo ya dakika 1-5 kati ya dakika 90+ za match sio mbaya,
Au unadhani TBC ata recoup vipi hizo pesa za udhamin?
Unataka matangazo before match wakati watu wengi hawasikilizi radio muda huo?
Ukiona hutaki matangazo feel free kwenda uwanjani ukaangalie mwenyewe
Mkuu, TBC ana bills za kulipa,
Unataka hizo bills alipe vipi? Matangazo ya dakika 1-5 kati ya dakika 90+ za match sio mbaya,
Au unadhani TBC ata recoup vipi hizo pesa za udhamin?
Unataka matangazo before match wakati watu wengi hawasikilizi radio muda huo?
Ukiona hutaki matangazo feel free kwenda uwanjani ukaangalie mwenyewe
Utangazaji wa matukio kama mpira una taratibu zake, usipoufuata kitakachofuata ni kukosa weledi wa utangazaji wa mpira.ndugu, nimesema mpira ukitoka,mchezaji ameumia au hakuna shambulizi lolote kati ya timu hzo mbili, mimi sifungamani na upande wowote ima wa TBC au wanao iponda TBC, mimi nipo hapa kujibu hoja iliyo letwa na mdau!
kichwa ngumu wewe mkuu! hivi kabla ya mechi haijaanza unataka liwekwe tangazo la mpira ambalo halihusiani na kipindi husika?Utangazaji wa matukio kama mpira una taratibu zake, usipoufuata kitakachofuata ni kukosa weledi wa utangazaji wa mpira.
Unajua hata kwenye TV kuna taratibu katika kuchanganya picha, hawawezi kuonyesha matukio yasiyohusiana na kinachotokea kwenye pitch, mfano kuonyesha mashabiki, wakati mpira unaendelea, sembuse unakata kabisa matangazo kwa ajili ya matangazo ya biashara.
Kwanini kwenye TV pia wasifanye hivyo unavyotetea kama ishu ni kulipa bill?
Wewe ndiyo haujui taratibu. Kila kipindi kina taratibu zake. Hauwezi kukatisha matangazo ya mpira kwa matangazo ya biashara kisa mpira umetoka maana hakuna tangazo la sekunde 5. Yaani eti kisa timu hazishambuliani zinacheza mpira eneo la kati, wewe paaah unaweka tangazo la colgate, aisee. Na si ajabu uko humohumo TBC.kichwa ngumu wewe mkuu! hivi kabla ya mechi haijaanza unataka liwekwe tangazo la mpira ambalo halihusiani na kipindi husika?
Hakuna kitu kama hiko mzee, tangazo huwa linasomwa na mtangazaji inaonesha husikilizi mpira ila kuuchonga tu mdomoWewe ndiyo haujui taratibu. Kila kipindi kina taratibu zake. Hauwezi kukatisha matangazo ya mpira kwa matangazo ya biashara kisa mpira umetoka maana hakuna tangazo la sekunde 5. Yaani eti kisa timu hazishambuliani zinacheza mpira eneo la kati, wewe paaah unaweka tangazo la colgate, aisee. Na si ajabu uko humohumo TBC.
Ni kweli ni miaka mingi sijakaa kusikiliza mpira kwenye redio na nashangaa kuna watu bado wanafanya hivyo. Nilivyomuelewa mleta mada anasema matangazo ya mpira yanakatwa kwa ajili ya matangazo ya biashara wakati mpira unaendelea.Hakuna kitu kama hiko mzee, tangazo huwa linasomwa na mtangazaji inaonesha husikilizi mpira ila kuuchonga tu mdomo
TBC, Hatuwataki, wakitangaza mpira wanaongea ya kwao tena ya kitoto, kwakifupi hawana uwezo wa kutangaza mpira wanachoweza labda mipashoMsikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?
Kweli, ila huko sio kutangaza mpira..sometimes wanajisahau kabisa ile radha inakuwa haipo..Sikia nikwambie, hawa azam tv hakunaga matangazo wakati mechi inaendelea? yapo lakn hutolewa kwa njia ya maandishi,je unataka TBC nao watoe matangazo kwa njia ya maandsh ili hali ni kwa njia ya redio? TBC hutoa matangazo wakati mechi ikiendelea wakati either, mchezaji ameumia,mpira umetoka au hakuna mashambulizi yeyote kwa timu zote mbili.
Mkuu mala ya mwisho kusikiliza mpira kwa njia ya redio ni mwaka gani, maana naweza kuwa nabishana na mtu hata redio hasikilizi, matangazo ya mpira hukatwa mwanzoni mwa kipindi cha kwanza na mwanzoni mwa kipindi cha pili pekee, kinachofuata,mtangazaji huangalia hali ya mchezo, mpira umetoka,mchezo umesimama au hakuna mashambulizi ndipo husoma tangazo (kumbuka hapo hajakata matangazo ya mpira) na ikitokea timu inashambulia alafu anasoma tangazo basi huacha mala moja kusoma ili kusimulia kinachojiri uwanjani. umeelewa sasa?Wewe ndiyo haujui taratibu. Kila kipindi kina taratibu zake. Hauwezi kukatisha matangazo ya mpira kwa matangazo ya biashara kisa mpira umetoka maana hakuna tangazo la sekunde 5. Yaani eti kisa timu hazishambuliani zinacheza mpira eneo la kati, wewe paaah unaweka tangazo la colgate, aisee. Na si ajabu uko humohumo TBC.
Vipindi vinawekwa kwenye ratiba. Ukisema saa 10:30 matangazo y
TBC ni janga.Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya wadhamini wasiyafanye kabla ya mechi, wakati wa mapunziko na baada ya mpira?