Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

Status
Not open for further replies.
Yaani utafikiri yamelazimishwa kuonyesha wagombea wakiingolea magufuli na tume ya uchaguzi watangazaji wanaanza kuongea hawataki wananchi wasikie mapungufu ya ccm pumbavu kabisa
Kwa Nini CHAdema wamewachagua Hawa ...naaona wamemkata Tena Lema
 
Leo Hawa Watangazaji TBC Wamepewa Mtihani Mzitto.

Siku ya Leo hawataisahau Maishanii Mwao.!


Watahangaika sana leo hapo Studio..

Namuonea huruma huyu Binti Mrembo Mwenye Uso Mbonde Kama rihanna..

Watahangaika sana kufanya uchambuzi Uchwara leo
Wanakata Sana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nchi inaendeshwa Kama Gettho-Lema.
 
TBC ni hovyo kwa Nini mgombea wa Ilala aliposema Magufuli hajaongeza mishahara kwa miaka mitano wakakata matangazo na kuingiza sauti za Watangazaji!
Kwa kweli ni Bora TBC wangeacha tu kurusha live Mana naona watangazaji wa TBC ndio wanaongea Muda mwingi badala ya kuacha tuskie wanahusika wanachoongea kwenye kampeni.

Sijajua kwann CDM waliiamini TBC kurusha Mkutano huu muhimu. Hapa wanachofanya TBC ni hujuma tu na si kingine.
 
Walipoona Mbowe anakwenda kuweka msimamo juu ya huu umalaya wa NEC wanaweka nyimbo. Pumbavu sana TBC
 
Jiandae kuona hotuba za makamanda zikikatwakatwa hovyo.
Ndicho kinachofanyika. Badala ya kutuacha tusikilize hotuba zao wanaingilia na kuanza kutoa uchambuzi. Halafu camera hazituonyeshi umati wa wahudhuriaji na hakuna TV station nyingine yoyote inayorusha matangazo hayo.
 
Mbowe amewapa dakika 15 TBC waondoe mitambo yao Mara moja.
 
TBC wanazingua sana aisee.
Ndio nini hiki wanachoonyesha.
Bora tu wasingeonyesha
 
Duh! Sijaamini. Ngoja tuone muda ukifika kama hawata kata matangazo kwa matatizo yaliyo nje ya uwezo wao. Au kukata sauti.



Nb. Muandae mabango yenye sera zenu. Ili wakikata sauti muwe mnayapitisha mbele mbele hapo. Au lissu avae tisheti iliyoandikwa sera zake.
Mkeka wangu umetiki.
 
Wakuu nawasalimu wote,
Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM

===

TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka viwanja vya Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam.

Matangazo hayo yatakuwa mbashara pia kupitia tovuti (tbc.go.tz), App (TBC Live) na YouTube (TBCOnline).


View attachment 1550441
Hivi tbc ndio nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom