unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Kwa Nini CHAdema wamewachagua Hawa ...naaona wamemkata Tena Lema
Wanakata Sana!Leo TBC Watangazaji Kazi Mnayo..
Ni Mwendo Wakukuta tu na kuondoa Sauti...
Kisha Mnaweka Uchambuzi Wenu duni.
Kwa kweli ni Bora TBC wangeacha tu kurusha live Mana naona watangazaji wa TBC ndio wanaongea Muda mwingi badala ya kuacha tuskie wanahusika wanachoongea kwenye kampeni.TBC ni hovyo kwa Nini mgombea wa Ilala aliposema Magufuli hajaongeza mishahara kwa miaka mitano wakakata matangazo na kuingiza sauti za Watangazaji!
Ndicho kinachofanyika. Badala ya kutuacha tusikilize hotuba zao wanaingilia na kuanza kutoa uchambuzi. Halafu camera hazituonyeshi umati wa wahudhuriaji na hakuna TV station nyingine yoyote inayorusha matangazo hayo.Jiandae kuona hotuba za makamanda zikikatwakatwa hovyo.
Mkeka wangu umetiki.Duh! Sijaamini. Ngoja tuone muda ukifika kama hawata kata matangazo kwa matatizo yaliyo nje ya uwezo wao. Au kukata sauti.
Nb. Muandae mabango yenye sera zenu. Ili wakikata sauti muwe mnayapitisha mbele mbele hapo. Au lissu avae tisheti iliyoandikwa sera zake.
Hivi tbc ndio nini?Wakuu nawasalimu wote,
Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM
===
TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka viwanja vya Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam.
Matangazo hayo yatakuwa mbashara pia kupitia tovuti (tbc.go.tz), App (TBC Live) na YouTube (TBCOnline).
View attachment 1550441