Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Yaani baada ya habari ya ITV kwa mkutTano jangwani nikarudi tbccm, nimekereka wamekazania habari za watumwa wa CCM vyuoni eti wanampa baraka Mr dhaifu aendelee na kusaini katiba na habari ya kinana. Ya jangwani imewekwa mwisho
Wale vijana nlivyowaona tu wanaelekea kama vile wanasoma vyuo vya kata.
Nina hakika ni wahanga wakubwa wa Supp za vyuoni, pia kuna ushahidi kua hata Hivyo vyeo wamejipa tu.