Mkuu huyo akili hana huwezi ukawa kasuku kwa sababu ilisemwa hivyo na wewe unarudia bila kujali kwamba kuna makosa yalifanyikaUlijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?
Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.
Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
Yuko serious kabisa 🤣🤣🤣View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.
Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Bado ni umbumbumbu hata kama ame m quote mtu, anashindwa kuchanganya na akili zake.Ulijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?
Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.
Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
Hii amekuandikia nani?Nimecheka.mpaka nimeshindwa kuandika
Watalaamu waduwanziUKISIKIA "MAPENDEKEZO HAYA YAMETOLEWA NA WATAALAMU"
WATAALAMU WENYEWE NDIO HAWA..
Hili ndio tatizo kubwa la taasisi za serikali ya CCM.Wanaajiri watoto mbumbumbu wa wake wenza!
Kwa hiyo hata ramani tu hajui na hata kuuliza kuwa hiyo meli itawezaje kuf8ka Zambia,Sudan kusini ,kongo.na Burundi?Ulijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?
Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.
Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
Kweli kabisa, umbumbumbu wa aina hii ni janga kubwa kwa Taifa.Kwa hiyo hata ramani tu hajui na hata kuuliza kuwa hiyo meli itawezaje kuf8ka Zambia,Sudan kusin8 ,kongo.na Burundi?
Halafu linavyotangaza ujinga wake kwa kujiamini aisee
Huyu mtangazaji atangazwe kuwa janga la kitaifa na mjinga namba moja wa mwaka 2024 kitaifa
Labda meli ndegeiyo ni meli ama ndege sasa..
Shida watangazaji wote ni machawa wapo kimaslahi kusifu tu mpka anapitilizaView attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.
Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Yaan umeelewa kabisa alichosema huyo mtangazaji wa Tbc? Malawi inafikaje kwa mfano ikitokea ziwa Victoria?Kwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka
Mkuu wewe ndo umekurupuka, Ziwa Victoria lipo Kenya, Uganda na Tanzania tu. Na meli kubwa huwa hazihamishwi Ziwa zinatengenezewa hapohapo. Kwahiyo hiyo meli na ukubwa wake haiwezi kwenda nje ya TZ, Ug na Kenya. Hii ni elimu ambayo mtoto wa darasa la 7 aliyewaelewa walimu wake ana uelewa nayo. Leo hii unadai Malawi Kuna Ziwa meli itafika!?,au na wewe ndo kama mtangazaji wa TBC!?Kwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka
Nasubiri majibuYaan umeelewa kabisa alichosema huyo mtangazaji wa Tbc? Malawi inafikaje kwa mfano ikitokea ziwa Victoria?
Huyo nae ni kama Mtangazaji wa TBC tu. Hajui chochote..Yaan umeelewa kabisa alichosema huyo mtangazaji wa Tbc? Malawi inafikaje kwa mfano ikitokea ziwa Victoria?
Huyo atakuwa ndio mtangazaji mwenyewe🤣🤣🤣🤣 hakika uku ni kupatwa kwa TBC TaifaMkuu wewe ndo umekurupuka, Ziwa Victoria lipo Kenya, Uganda na Tanzania tu. Na meli kubwa huwa hazihamishwi Ziwa zinatengenezewa hapohapo. Kwahiyo hiyo meli na ukubwa wake haiwezi kwenda nje ya TZ, Ug na Kenya. Hii ni elimu ambayo mtoto wa darasa la 7 aliyewaelewa walimu wake ana uelewa nayo. Leo hii unadai Malawi Kuna Ziwa meli itafika!?,au na wewe ndo kama mtangazaji wa TBC!?
Du .. na wewe umeshapata cheo cha umbumbumbu, daraja la kwanza.Kwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka