Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 eti safari ya DodomaKila ukiwasha tv unakutana neno safari ya dodoma hiyo tbc siangalii mimi siielewi,chaneli inasifia vitu vya ajabu ajabu habar yenyewe haina mvuto
[emoji23][emoji23]ndio hivyo nakushauri washa tv yako ndio matangazo yatakayokuchosha sana[emoji23][emoji23][emoji23] eti safari ya Dodoma
mi mwenyewe nna kisimbuzi cha Azam ndo balaaaa yani,,hakuna channel hata moja yenye taarifa ya habar nzuri,,,nakomaa na channel za kihindi dadekii[emoji23][emoji23]ndio hivyo nakushauri washa tv yako ndio matangazo yatakayokuchosha sana
[emoji23][emoji23]pole sana upo unakomaa na sultan umekaribia kupajua mumbai kupitia channel za kihindmi mwenyewe nna kisimbuzi cha Azam ndo balaaaa yani,,hakuna channel hata moja yenye taarifa ya habar nzuri,,,nakomaa na channel za kihindi dadekii
Kumbe upo? Zile nyuzi zako bana enzi zilenaomba TBC mzingatie kuweka majina ya watu mnaowahoji kwenye Taarifa zenu mnazoturushia.
Unakuta mnachukua taarifa Fulani halafu mnayemhoji/mnaowahoji hamuweki majina wala tittle zao kama wafanyavyo ITV.
Hili linatukera sana sisi wafuatiliaji wa TBC.
Kama sijaeleweka, niambieni hamjaelewa wapi nifafanue zaidi.
Ni kero mno hii
😂😂😂😂 hatar san[emoji23][emoji23]pole sana upo unakomaa na sultan umekaribia kupajua mumbai kupitia channel za kihind
Jamani uzee sio tatizo, Yupo Richard Quest kule CNN anafanya vizuri sana, na wengine wengi watu wazima wapo kule Aljazeera, huwezi kuchoka kuwatazama vipaindi vyao, pia kunenepa sio kosa, Yupo Sara Kipingu pale ITV nae anafanya vizuri tu, Tatizo kuu la TBC ni kujibandika UCCm, naichukia sana kwa hili, na naamini ndilo chuizo la watu wengi, sitegemei kuipenda hata ikibaki peke yake kama wanavyotaka, hii ni television ya taifa inaendeshwa kwa kodi zetu, halafu inakalia kufanya porojo za ccm na policcm,Safi sana. Bonge la ushauri. Kwa kweli watangazaji wao wa kike wamezubaa na vipindi ni vya kizee plus muonekano wa vipindi vyao ni mbaya.
Angekuwa Rioba yule wa gazeti la RAI original angekusikia, mimi tuwaache wafanye wanavyotaka kwani haitusaidii lolote kuwashauri, watajua wenyeweHongera sana Dokta Ryoba kwa nia ya dhati ya kuisuka upya TBC. Maoni yangu ni haya kaka 1. Iongezwe chaneli ya burudani na michezo ili kuonesha Sana'a, miziki na maigizo ,2. TBC1 iwe na kipindi cha kueleza kero moja kwa moja kwa viongozi. Mfano, k jumapili anaalikwa kiongozi studio na kupokea simu moja kwa moja toka kwa wananchi, 3. Pawe na kipindi cha matukio ya wiki toka kila mkoa, 4. TBC irushe mechi zote za timu ya Taifa, icheze ndani au nje, mwisho vyama vingine pia vipewe fursa kutumia TBC