Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,097
Huu ni utaratibu wa kijinga wanaishi kwa kodi za wananchi mpaka wasio na dini ila wanaleta upuuzi wa kututangazia mambo ya waislam na wakristo kama vile taifa zima ni la waislam na wakristo pumbavu😁waache waje wanangu wa "serikali haina dini Ila watu wake Wana dini"
Ile ni television ya taifa. Mbona unauliza maswali ya kipumbavuKwani umelazimishwa kuangalia mkuu?
Hongera kwa kuwa na roho ngumu ya kuangalia TBC!Huu ni utaratibu wa kijinga wanaishi kwa kodi za wananchi mpaka wasio na dini ila wanaleta upuuzi wa kututangazia mambo ya waislam na wakristo kama vile taifa zima ni la waislam na wakristo pumbavu
Ila mkuu kuna vipindi pia vya bongo fleva, kilimo n.kHuu ni utaratibu wa kijinga wanaishi kwa kodi za wananchi mpaka wasio na dini ila wanaleta upuuzi wa kututangazia mambo ya waislam na wakristo kama vile taifa zima ni la waislam na wakristo pumbavu
🤣Asa si usiangalie tu... bana... ungekuwa forced kwenda church jumapili au kuswali Sala Tano sawa..if ungekuwa forced kufollow religious rules kisa katiba sawa Ila Sasa jamani TV...Huu ni utaratibu wa kijinga wanaishi kwa kodi za wananchi mpaka wasio na dini ila wanaleta upuuzi wa kututangazia mambo ya waislam na wakristo kama vile taifa zima ni la waislam na wakristo pumbavu
Sifahamu kuhusu Zanzibar sio mkazi wa huko nimeuliza kuhusu TBC mimi ni mkazi wa hukuZbc je??
Kawaida kusafisha macho unapopata muda. Ila huu utaratibu wao siuelewi kabisaHongera kwa kuwa na roho ngumu ya kuangalia TBC!
Kwahiyo ikiwa ya taifa unalazimishwa kuangalia?Ile ni television ya taifa. Mbona unauliza maswali ya kipumbavu
Ile ni TV ya umma ingekuwa ya waislam au wakristo nisinge leta lalamiko langu hapa🤣Asa si usiangalie tu... bana... ungekuwa forced kwenda church jumapili au kuswali Sala Tano sawa..if ungekuwa forced kufollow religious rules kisa katiba sawa Ila Sasa jamani TV...
Ule ni upuuzi kubalance mpaka ujinga waachie dini hizo zifanye huko kwao sio kwa TV ya taifaIla mkuu kuna vipindi pia vya bongo fleva, kilimo n.k
Ni kama wanajaribu kubalance
Anatumia king'amuzi cha Startimes cha bure kina Channel moja🤣Asa si usiangalie tu... bana... ungekuwa forced kwenda church jumapili au kuswali Sala Tano sawa..if ungekuwa forced kufollow religious rules kisa katiba sawa Ila Sasa jamani TV...
Dawa ni kuacha kuangaliaSijawahi kuona mahubiri ya wapentekoste CPCT kwenye hizi media, walau jana jumamosi kuna kipindi kinaitwa maranatha ni cha wasabato hurushwa TBC. Ifike muda TBC isionekane inarusha ibada za wakatoliki na waislam tu haipendezi wafanye mabadiliko ya kurusha ibada za makanisa yote
Ndio ni lazima niangalie kwa sababu ni ya taifa na sio binafsi ya kikundi au jamii fulaniKwahiyo ikiwa ya taifa unalazimishwa kuangalia?
Mkuu endelea kuchafua macho.Kawaida kusafisha macho unapopata muda. Ila huu utaratibu wao siuelewi kabisa