TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

Muda huu tumewekewa Mubashara katika hii Television ya TAIFA mashindano ya kusoma Quaran yanafanyika Kondoa Dodoma, wakati Kuna tukio kubwa la KITAIFA NA KIKANDA kinaendelea pale AICC - ARUSHA hatupati kujua kinachoendelea tena EAC SUMMIT.

HUU NI UJINGA SANA, MAMBO YA IMANI WAACHIE TV ZA DINI YA KIISLAMU KAMA TV IMANI
Kasikilize redio maria
 
Muda huu tumewekewa Mubashara katika hii Television ya TAIFA mashindano ya kusoma Quaran yanafanyika Kondoa Dodoma, wakati Kuna tukio kubwa la KITAIFA NA KIKANDA kinaendelea pale AICC - ARUSHA hatupati kujua kinachoendelea tena EAC SUMMIT.

HUU NI UJINGA SANA, MAMBO YA IMANI WAACHIE TV ZA DINI YA KIISLAMU KAMA TV IMANI

Karibia kila mwaka Waislam wakifunga hivyo vipindi hurushwa hewani wala sio mara ya kwanza?
Lakini pia; mikutano mingi huwa haiendi live.... Wanaiweka offline kwanza ili wa edit maudhui yanayotakiwa kufikia watu.
Si unajua kuna watu zero brain wakiona jambo, hata kama mtoa mada amekosea kidogo ndio unakuwa mjadala majukwaani wiki nzima....badala ya kujadili hoja ya msingi.
 
Huyo alikuwa waziri wa nchi na kada mtiifu wa CCM maisha yake yote, hakuna cha ajabu hapo.
Sawa. Na Pengo je!
Pia nikumbushe Waziri Muislamu ambaye mazishi yake yalirushwa live
 
Baada ya ujumbe huu, naona wame switch kwenda EAC SUMMIT inafanyika AICC ARUSHA.

Shame upon you
 
Nyerere alikuwa waziri mkuu chini ya Malkia in 1961. Baadae akawa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika. Baadae tena akawa rais wa Tanzania.

Mwinyi alikuwa rais wa Zanzibar na makamu wa kwanza wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baadae akawa rais wa Tanzania.

Kwahiyo inawezekana Waziri mkuu au makamu wa rais kuwa rais wa Tanzania.

Kama una mtu wako unataka awe rais, vumilia mpaka 2029/2030 ndio umtaje huku mitandaoni. Kumtaja mapema namna hii huenda mna mharibia.


Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na rais mprotestanti.

Toka Lowassa ajiuzulu on the 7th of February 2008, kwa miaka 17 hakujawahi kuwa na kiongozi mprotestanti kwenye position ya rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, mpaka hivi karibuni alipoteuliwa huyu waziri mkuu wa sasa on the 13th of November 2025.

Ili kuwa na political inclusivity nzuri, ni vizuri kwenye kila mzunguko wa miaka 30, miaka 10 apewe mkatoliki, miaka 10 apewe mprotestanti, na miaka 10 apewe muislamu wa sunni.

Na kwenye top 3 positions za rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, haya makundi yawepo.

Halafu urais uwe unazunguka kanda kwa kanda sio kurudia kanda zile zile.

Watu wote wanaoshika hizo nafasi za juu, wanatakiwa kwanza kuwa na vigezo na sifa nzuri za uongozi, halafu ndio yanafuata mambo ya madhehebu na kanda.

Of course, hakuna umuhimu wa kufuata power formulae hizo hapo juu, kama kutakuwa na viongozi wazuri sana, wenye vigezo na sifa nzuri sana, ambao hawaendani na hizo formulae hapo juu.

30% - 40% ya watanzania ni wakatoliki.

30% - 40% ya watanzania ni waprotestanti.

20% - 30% ya watanzania ni waislamu.



Maximum presidential terms, should be three terms of five years each, and not the current two terms. Warioba's commission constitution proposals had some important democratic deficiencies, and there are some good things they failed to take from the 1977 constitution. Warioba's commission constitution proposals are now a bit old (they are at least 10 years old). Warioba's commission constitution proposals should be reviewed and improved, in a more democratic direction, in case we are going to have a new constitution.

TAKUKURU should be renamed Tanzania Bureau of Investigation. The government should also form the Tanzania Secret Service (TSS), which will cooperate with the current Tanzania Intelligence and Security Services (TISS). Tanzania Secret Service (TSS), will be more responsible with the security of the President and of the state house premises.
 
Back
Top Bottom