TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

Unataka na wale wa "nilimuombea mama akafufuka" waonyeshwe? Hawa watu ambao hujui wataropoka nini [emoji30]
 
Umesoma andiko vizuri au umekurupuka tu ?
Mwanangu wewe ndo umekurupuka maana Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yenye uanachama wa madhehebu ya kiprotestanti isipokuwa wasabato na walokole huwa wanatoa mawaidha yao wakiratibiwa na Mratibu wa habari wa CCT mchungaji John Kamoyo...

The fact kwamba wasabato ama walokole hatupeleki vipindi haina maana kwamba hatujaalikwa ama tunazuiwa kupeleka vipindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20231204_121409.png
TBC ya Uingereza. BBC...Hapo vipi👆👆👆
 
Back
Top Bottom