LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kama unapenda kuangalia TBC utakiona jumamosi usikuMimi ni Msabato nitaanza kuangalia kipindi hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unapenda kuangalia TBC utakiona jumamosi usikuMimi ni Msabato nitaanza kuangalia kipindi hicho.
Hoja ni kwamba inaendeshwa na Hela za wananchi... Kwa nini zitumike kutangaza hizi mainstream religions wakati tuna dini zetu za asili kwa ambao siyo wakristu au waislam?Kwani umelazimishwa kuangalia mkuu?
Idadi si hoja,hoja ni kwa nini malinya umma inatumika kuhubiri Imani Fulani pekee,ni aidha iache au ihubiri Hadi Imani za kihindu ambayo ni sehemu ya jamii ya nchi hiiKwa hio wanazidi idadi ya Waislamu na Wakatoliki Nchi nzima? 💩
Hapo kwenye Uislam sema Suni maana Shia, Ibadi, Ahmadiya, Bohora, Ismailia, n.k hawana chao TBCBinafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Ndio ulivyotumwa na Mchungaji wako?Idadi si hoja,hoja ni kwa nini malinya umma inatumika kuhubiri Imani Fulani pekee,ni aidha iache au ihubiri Hadi Imani za kihindu ambayo ni sehemu ya jamii ya nchi hii
Mwendawazimu!Wewe ni daktari au mwendawazimu ?
Nenda kwa Mchungaji aliekutuma kamwambie ajenda yake imefeli TBC haiwezi ikarusha masomo yake yanayotangazwa eti anaanzisha kikundi cha ibada na familia yake mnaita Kanisa
Wananchi waliosimika hii siyo akina Gwajima,Mwamposa na makanisa yao ya kihuni huni bali ni watu ambao utawala wa dini zao ulisimikwa na Mungu mwenyewe.
Bustani ya wajinga,Tafsiri ya kanisa kwako ni ipi?
Ni ujinga tu wanajitia kubalance mamboBinafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Tusome wakiyapa air time madhebu yote Kuanzia walokole mpaka ma budda itachukua muda gani,kutakua na taarifa ya habari kweli na ziara mbalimbali za kiserikali zinazorushwaga mubashara?Dini na Madhehebu yote Nchini yanatakiwa kupewa Airtime bila ubaguzi na National Television ya Taifa hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine.
Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Ile ni TV ya umma ingekuwa ya waislam au wakristo nisinge leta lalamiko langu hapa
Serikali ya Tanzania haina dini ila raia wake wana dini wanaozifuata. Wakristo na Waislamu ndio dini mbili kubwa nchini Tanzania. Televisheni ya TBC ikitaka kupata watazamaji lazima iwarubuni wafuasi wa hizi dini mbili kubwa. Huo ni mwendo wa biashara na kuwa na sauti katika jamii. Watanzania wengi wanamuogopa Mungu na mpaka kizazi hiki misikiti na makanisa makubwa bado yanajengwa, nasikia sehemu nyingine za dunia hasa ulaya - hakuna ujenzi mpya wa makanisa!Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Hivi huo muda wa kuangalia hayo maudhui kwa masaa 24 kila siku na kugundua hao TBC ni wabaguzi unautoa wapi!!!Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC